Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Mnyika tunafahamu cheo chake, mvungi vivyo hivyo na Hiza ameingia kama nani hapo?
Ni bosi msaidizi kutoka katika kitengo cha ulopokaji cha ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyika tunafahamu cheo chake, mvungi vivyo hivyo na Hiza ameingia kama nani hapo?
Halafu huyu jamaa ana ubishi
Bogas Tambwe na mambo ya Lancaster. Anabishana na Mvungi. Kweli jamaa full propaganda
jamni kilaza TAMBWE anaaibisha haaaa! huyu kamzidi makambamzunguko wa pili sasa, haya tuendelee...dr Mvungi
kwanza anabore sana hata uzungumzaji wake wakivivu kishenz
Tambwe hana upevu juu ya issue nzito kama katiba, simuelewi kwa chochote cha maana aongeacho.
jamni kilaza TAMBWE anaaibisha haaaa! huyu kamzidi makamba
ebo!! jamani vipitena? yaani nimesoma post zote 24 za hii thread zinamhusu tambwe lol!1 mpotezeeni jamani tupeni yale yanayojiri huko
Akili mejaa mafuta mimi asema...Jamani kweli ccm ipo ICU. Yaani suala nyeti la katiba wanawakilishwa na mlopokaji!! Kwa nini wasimweke hata wilson mukama?? Hivi unene huwa unaathiri akili??? Wanasayani watujuze tafadhali.
Tambwe jamani ana upeo mdogo wa historia ya nchi hii. Nyerere hakwenda lancaster house. Ni mugabe na wenzake. Nyerere ni karimjee hall dar. Katoka ndani kabebwa juu kwa juu na mama yake akiwa sambamba. Tambwe hauko hapo kutetea ugoro.upo hapo kujadili katiba kulingana na wakati tuliopo
Tambwe anashangaa makamera. Huyu jamaa anatoa data sumu. Anyway you become what you it.