Mjadala wa katiba mpya ITV; Mnyika, Tambwe Hizza na Dr. Mvungi

Wandugu,
Mlopokaji wa ccm (tambwe hiza) anaendelea kueleza kupitia kipindi cha kipima joto ITV kuhusu katiba. Kimsingi, mlopokaji haoni sababu kwa nini tuwe na katiba mpya wakati maandalizi ya katiba iliyopo yalishirikisha watanzania wote.
 
Jamani kweli ccm ipo ICU. Yaani suala nyeti la katiba wanawakilishwa na mlopokaji!! Kwa nini wasimweke hata wilson mukama?? Hivi unene huwa unaathiri akili??? Wanasayani watujuze tafadhali.
 

Kutofahamu kwetu katiba ya sasa, kama madai ni ya kweli, basi ndio kiashirio tosha ya MADHARA YA KATIBA YA NCHI ILIOANDIKWA BILA KUSHIRIKISHA WANANCHI, hivyo cha muhimu zaidi ni KUJUA TUNACHOTAKA NDANI YA KATIBA MPYA TANGU SASA na wala si kutazama na kubakia nyuma wajanja walikoibakia uchumi wetu.
 
ebo!! jamani vipitena? yaani nimesoma post zote 24 za hii thread zinamhusu tambwe lol!1 mpotezeeni jamani tupeni yale yanayojiri huko
 
Jamani kweli ccm ipo ICU. Yaani suala nyeti la katiba wanawakilishwa na mlopokaji!! Kwa nini wasimweke hata wilson mukama?? Hivi unene huwa unaathiri akili??? Wanasayani watujuze tafadhali.

kiasi fulani huathiri sababu damu inapta kwa shida so kuna pati kwenye mwili zinakuwa slow
 
Namwona mlopokaji anasoma sms kwenye simu zake mbili kwa wakati mmoja. Sijui jamaa wamemtumia madesa???
 

point kaka
 
Mnyika tunafahamu cheo chake, mvungi vivyo hivyo na Hiza ameingia kama nani hapo?
 
mzunguko wa pili sasa, haya tuendelee...dr Mvungi
 
Itakumbukwa siku chache zilizopita niliweka thread inayosema nani mkali wa pumba katika ya Makamba(Katibu) wa CCM UNITED FRONT na Tambwe Hiza wa kitengo cha Umbea CCM, kwa wasiomjua vizuri Tambwe walisema makamba mkali kuliko tambwe LAKINI ukifuatilia mjadala unaondelea sasa ITV katika kipindi cha kipima joto kuhusu katiba utugundua huyu jamaa ana akili ya inayomwezesha kuvaa nguo na viatu tu na si kufikiria hata chembe. Tambwe Hiza bila kumumunya maneno anasema:-
1. Kusema katiba haikushirikisha wananchi ni uongo ambao haujavaa nguo ( Yaani manake
Prof. Shivji ni muongo yeye ndo mkweli). Pia anjaribu kusemaKatiba ilishirikisha wananchi
kupitia uwakilishi wa bunge sasa sijui ni kweli Bunge linama
2. Tambwe anasema hakuna malalamiko ya wananchi kuhusu katiba
3. Tambwe Hiza Anasema katiba inapatikana kwa urahisi tu kupitia website ya tanzania,
na anaendelea kwa kusema hata kwenye simu unaweza kudownload katiba na
kuisoma bila shida kwa lugha unayoitaka.

Kwa kifupi Tambwe inatia kinyaa kumsikiliza yani Dr. Mvungi na Mnyika wanamuangalia wanatamani kumpiga makofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…