Mjadala wa kina kwanini Yanga amefungwa mechi mbili mfululizo na kucheza chini ya kiwango

Mjadala wa kina kwanini Yanga amefungwa mechi mbili mfululizo na kucheza chini ya kiwango

download-1.jpg
 
Yanga wanaonekana wana wachezaji wazuri lakini pia wana kocha mzuri.

Ni sababu zipi zimepelekea afungwe mechi mbili mfululizo.

Alifungwa na Azam goli 1 kwa 0 mechi ya tarehe 2 November 2024.

Leo tarehe 7 November 2024 tumeshuhudia Yanga anafungwa goli 3 kwa 0 zidi ya Tabora United. Hili jambo sio la kawaida ukilinganisha na kiwango cha Yanga.

View attachment 3146449

Kama umeangalia mechi ndugu mwana utagundua kwamba wachezaji wengi wa Yanga wameshindwa kucheza mpira uwanjani.

Naomba tujadili kwa kina ni kipi kimewafanya Yanga wacheze mpira chini ya kiwango na kufungwa goli mfululizo.


Ukitaka kununua gesi ya kupikia wala usisumbuke pitia hapa uagize utaletewa hadi nyumbani kwako. Ni hapa: Campus City Shopping Mall - Online Shopping for Popular Electronics, Fashion, Home & Garden, Toys & Sports, Automobiles and More.
Mo kanunua game, wachezaji wa yanga wanashindia mihogo na njegere, hii imerahisisha kazi ya Mo

Chama ndo mgawa hela pamoja na bareke, Manara yupo kule kwa kufanya tathimin na ktunza hazina
 
Back
Top Bottom