Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Shuhudia Wananchi Jijini Dar es salaam wakipinga kwa umoja kushiriki maandamano yanayotajwa kupangwa Disemba 9 mwaka huu na kama inavyosambazwa hapa mitandaoni ambapo tunashuhudia viasharia kulingana na waratibu kusambaza taarifa hizo baada ya kile kilichotokea Oktoba 29 .2025
Wakiwa kwenye kikao kama inavyoonekana na kusikika wanabadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo athari walizopata kwa kile kilichotokea Oktoba 29 moja kwa moja hapa wanapinga vikali maandamano yanayotajwa Disemba 9