Happiness Essau
Senior Member
- Aug 9, 2016
- 166
- 100
Hivi karibuni.Unaweza ukanieleza ujenzi Wa stendi unaanza lini maana hata kama barabara hiyo itatengenezwa wingi Wa magari ya kutoka stendi,miundombinu mibaya ya maji toka stendi barabara itaharibika tu baada ya muda mfupi una habari yayote kuhusu stendi
Ilo sawa ila sehemu za kati ni mbaya sana panazidiwa na sehemu za pembeni,kuna mashimo,pachafu,hakuna parking za maana,majengo makongwe mi nashangaa national housing sijui nyumba zao hawazioni sijui kwa nini wasijenge maghorofa ya kisasa au labda wanasubiria yatuue .pia mitaro,uongezaji Wa taa za barabara, na traffic lights bukoba ,soko,nk hapa bk italingana na watu wakaamo na wazawaWanahitaji kupanua mji
Barabara iko ktk upanuzi eneo la hamugembe. Nikifanikiwa nitaleta picha.Wanahitaji kupanua mji
Tokea 2012 wanasema hivi karibuni wananchi wanataka kuona ujenzi unaendelea kwa kasi walau floor tu kwanza ili magari yaamie ukoHivi karibuni.
Ni kweli kabisa na hasa kama masterplan mpya itatekelezwa; stand na barabara mpya ambazo ziko ktk mpangoMimi naona stendi ikishatolewa hapo na kuelekeza kyakairabwa mji utapanuka tu tena mji umeshaanza kufika hiko kabla stendi haijawekwa pia usafiri ukiwa mzr toka sehemu za mbali kama kisindi,ihungo,kahororo,itahwa na katoma mji utapanuka tu maana baada ya tetemeko na mafuriko watu wanatafuta sehemu salama za kujenga.
Ni kweli!Ilo sawa ila sehemu za kati ni mbaya sana panazidiwa na sehemu za pembeni,kuna mashimo,pachafu,hakuna parking za maana,majengo makongwe mi nashangaa national housing sijui nyumba zao hawazioni sijui kwa nini wasijenge maghorofa ya kisasa au labda wanasubiria yatuue .pia mitaro,uongezaji Wa taa za barabara, na traffic lights bukoba ,soko,nk hapa bk italingana na watu wakaamo na wazawa
Inapaswa kutengeneza sehemu za kupaki magari za kisasa hata MTU kama analipa kodi ana lipa bila kinyongo kabisa parking zinabidi ziwe hiviNi kweli!
Tatizo la parking linafanya barabara zizidi kuwa finyu na kamji kuonekana achafu. Parking n pedestrian ni shida kabisa Bukoba yetu hii
Hapo ni wapi ndugu instanbul?Inapaswa kutengeneza sehemu za kupaki magari za kisasa hata MTU kama analipa kodi ana lipa bila kinyongo kabisa parking zinabidi ziwe hiviparking inabidi zijengwe vizuri sio hivi ilivyo sasa
Ndugu Rweye, ulitupa matarajio makubwa sana kuhusu blog yako
Ndugu Rweye, ulitupa matarajio makubwa sana kuhusu blog yako
Nilikuomba ushirika na ukanikubalia ila nilishangaa ukaamua kunikaushia. Ulikwama nini na mbona hukuwahi kunambia?Ndugu Rweye, ulitupa matarajio makubwa sana kuhusu blog yako
Siamini kama mimi ndo nilikwamisha blog ndugu![emoji4]Nilikuomba ushirika na ukanikubalia ila nilishangaa ukaamua kunikaushia. Ulikwama nini na mbona hukuwahi kunambia?
Moshi hapoHapo ni wapi ndugu instanbul?
Ni Ujirani Mwema tu ndo utakutana na parking ya hivyo katika Bukoba nzima. Na hili ni swala la kutunga visheria tu, halihitaji bajeti.
Shida tupo wachache wanabukoba walio humu jf ni wengi sana ila kwenye mambo kama haya uwa hawapo.sijui tulilogwa na nani yaani kila mtu angekuwa anatoa hoja tungekuwa mbali sana mi nadhani stendi ingeshafika nusu katika ujenzi ila mbunge,katibu wake hata mayor sijawahi kuwaona vinginevyo mjadala huu hautaleta mafanikioBaada ya kupiga kelele ndo wanatusikiliza kwa mbali.Basi akuna kunyamaza kuhusu bukoba na kagera kwa ujumla ili serikari isiwe infinite kwa kuleta maendeleo
Huu mjadala ungekuwa unachangiwa na kila MTU hasa majibu kutoka kwa mbunge tungeshafika mbali lakin hawaonekanKuna watu wana akili fyatu kila siku wanashadadia unazi na ulimbukeni wa siasa za kishamba za Bukoba