Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Yanayotokea Kyakailabwa ilipo stand ni utoto. Kwanini mmesitisha ujenzi na kuacha kazi yote ianze kurudi 0? Sahivi kila kitu pale kimeanza kuharibiwa. Msiporudi site haraka vyuma vile na udongo wote mtavikuta pembeni kabisa.
Watoto kutwa wanashinda pale wanaruka juu ya seat za kukalia abiria, udongo nao umekutana na mvua na ilivyo slope ni kama kugusa vile. Kila kitu kinaharibika kwa kasi ya 4G.
Naamini hasara inayokwenda kutokea kutokana na mradi huu kusimama itakuwa ni maradufu ya hiyo pesa mnayodai imepigwa. Huwezi kutatua tatizo kwa kutengeneza kubwa zaidi. Hii itakuwa ni sawa na yule mtu anayeamua kukichoma moto kitanda eti kisa kina kunguni, only a crazy one can afford.
Acheni mradi uendelee wakati mkitatua hizo changamoto ndogo ndogo zinazojitokeza, na hakuna kisichokuwa na changamoto hata siku moja. La sivyo basi mjiandae kuanza tujenzi upya kuanzia kwenye 0 point. Kumbukeni hizo ni pesa zetu wananchi. Kuweni na uchungu na pesa zetu walipa kodi, hamuwezi kutuingiza gharama tena kwa mara nyingine