TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

Unaweza ukanieleza ujenzi Wa stendi unaanza lini maana hata kama barabara hiyo itatengenezwa wingi Wa magari ya kutoka stendi,miundombinu mibaya ya maji toka stendi barabara itaharibika tu baada ya muda mfupi una habari yayote kuhusu stendi
Hivi karibuni.
 
Wanahitaji kupanua mji
Ilo sawa ila sehemu za kati ni mbaya sana panazidiwa na sehemu za pembeni,kuna mashimo,pachafu,hakuna parking za maana,majengo makongwe mi nashangaa national housing sijui nyumba zao hawazioni sijui kwa nini wasijenge maghorofa ya kisasa au labda wanasubiria yatuue .pia mitaro,uongezaji Wa taa za barabara, na traffic lights bukoba ,soko,nk hapa bk italingana na watu wakaamo na wazawa
 
Mimi naona stendi ikishatolewa hapo na kuelekeza kyakairabwa mji utapanuka tu tena mji umeshaanza kufika hiko kabla stendi haijawekwa pia usafiri ukiwa mzr toka sehemu za mbali kama kisindi,ihungo,kahororo,itahwa na katoma mji utapanuka tu maana baada ya tetemeko na mafuriko watu wanatafuta sehemu salama za kujenga.
Ni kweli kabisa na hasa kama masterplan mpya itatekelezwa; stand na barabara mpya ambazo ziko ktk mpango
 
Ilo sawa ila sehemu za kati ni mbaya sana panazidiwa na sehemu za pembeni,kuna mashimo,pachafu,hakuna parking za maana,majengo makongwe mi nashangaa national housing sijui nyumba zao hawazioni sijui kwa nini wasijenge maghorofa ya kisasa au labda wanasubiria yatuue .pia mitaro,uongezaji Wa taa za barabara, na traffic lights bukoba ,soko,nk hapa bk italingana na watu wakaamo na wazawa
Ni kweli!

Tatizo la parking linafanya barabara zizidi kuwa finyu na kamji kuonekana achafu. Parking n pedestrian ni shida kabisa Bukoba yetu hii
 
Ni kweli!

Tatizo la parking linafanya barabara zizidi kuwa finyu na kamji kuonekana achafu. Parking n pedestrian ni shida kabisa Bukoba yetu hii
Inapaswa kutengeneza sehemu za kupaki magari za kisasa hata MTU kama analipa kodi ana lipa bila kinyongo kabisa parking zinabidi ziwe hivi
6474bb9d3ce275d9453a07d6096e07b3.jpg
7820fa3d1ede94a88f10270551c70000.jpg
parking inabidi zijengwe vizuri sio hivi ilivyo sasa
 
Hapo ni wapi ndugu instanbul?

Ni Ujirani Mwema tu ndo utakutana na parking ya hivyo katika Bukoba nzima. Na hili ni swala la kutunga visheria tu, halihitaji bajeti.
 
Kuna watu wana akili fyatu kila siku wanashadadia unazi na ulimbukeni wa siasa za kishamba za Bukoba
 
Baada ya kupiga kelele ndo wanatusikiliza kwa mbali.Basi akuna kunyamaza kuhusu bukoba na kagera kwa ujumla ili serikari isiwe infinite kwa kuleta maendeleo
Shida tupo wachache wanabukoba walio humu jf ni wengi sana ila kwenye mambo kama haya uwa hawapo.sijui tulilogwa na nani yaani kila mtu angekuwa anatoa hoja tungekuwa mbali sana mi nadhani stendi ingeshafika nusu katika ujenzi ila mbunge,katibu wake hata mayor sijawahi kuwaona vinginevyo mjadala huu hautaleta mafanikio
 
Mbunge wetu namsikiaga kwenye matetemeko na mafuriko tu anashindwa kupangilia mji na ujenzi wake yaani ningekuwa namuona Nina uchungu kwa nini bukoba iko hivi wakati tungekuwa mbali kisa leadership.yaani nasikia hata kutengenezwa kwa barabara hii ni order kutoka kwa mkuu Wa wilaya.mbunge,meya wote wapo inasikitisha sana
 
Halafu katika uchunguzi wangu Leo kwa nini round about ya ndizi hautoi maji hivi kulitokea nini? Na mzunguko Wa rwamishenye umechakaa
 
Yaani huu mjadala bwana unaweza ukatoa hoja na swali mara nyingi lakini haujibiwi tukiendelea hivi tutakuwa tanapoteza muda wetu kusema ukweli viongozi Wa bukoba hamuwajibiki sijui kwa nini hamko wazalendo na kwa nini matatizo hamyaoni
 
Matatizo madogomadogo yanayoweza tatuliwa haraka mjini bukoba
1.mzunguko Wa ndizi mawe yake kuanza kutoa maji.
2. Ujenzi Wa parkings za magari na sehemu za wapita w kwa miguu
3.ushawishi Wa wafanyabiashara kuanzisha mfumo Wa daladala mjini bukoba.
4. Kutengeneza mitaro vizur kwa kuwekea calvats
5.upanuzi Wa barabara za katikati ya mji yaani lami ifike kwenye majengo kama ilivyo rwamishenye ce nter
Ujumbe viongozi wetu fanyeni mambo madogomadogo kwanza na yanayoonekana hapo ndo mtapata fedha za kufanya mikubwa moshi na iringa walifanya hivyo na walifanikiwa fuateni mfano
 
Tunahitaji kuangalia miji mingine walifanyaje mbona walifanikiwa na sisi tushindwe mfano mwanza,moshi,morogoro na iringa
 
Back
Top Bottom