Mshana umeanza kuyumba hizi lugha za makaburu Jf tangu lini bro!!?due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Mshana umeanza kuyumba hizi lugha za makaburu Jf tangu lini bro!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Wewe unatafuta kutekwa mkuu.Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu kuishi ( Anaua watu) na dunia nzima inasambaza habari hizo.
Ukija hapa Tanzania utaambiwa na serikali ya CCM kuwa Paul Makonda ni moja ya watu muhimu, wachapa kazi, na mbaya zaidi alifanikiwa kuwa " fool" viongozi wa dini nao wakamuamini. Tunajiuliza ni kwanini akumbatiwe sana na Rais Magufuli?
ExactlyBaba ndio anamtuma,USA wanajua hiyo ni wakeup call kwa MEKO,Barua ya kumpongeza MEKO ni Kumuweka sawa kwamba wanammonitor.....MEKO atulize wenge ataingizwa kwenye 18 ICC.
UNITED REPUBLIC OF GANGSTERS.How people are missing in Tanzania?Tanzania has came a state of open bullet.
Sent using Jamii Forums mobile app
Government of gangstersdue to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Kayataka mwenyewe na babake anamshangilia, ngoja tuone yatafikia kushtakiwa The Hegue.due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Asiruhusiwe kusafiri nje ya nchi,yasije kukumkuta kama ya Saudi Balalii.