Mjadala: Zipi Faida au Hasara za kuzaa watoto wengi?

Mjadala: Zipi Faida au Hasara za kuzaa watoto wengi?

system hacker

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
426
Reaction score
709
Faida ni ipi na hasara ni ipi?

Karibu kwa mjadala kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaotegemea kujenga familia.
 
kama kipato chako kinarushu watoto watano ni sawa kua nao lakini kama hakikuruhusu kua na watoto ambao utaweza kuwahudumia, na kuhudumia familia hutegemeanana vipato vyenu ndio point yangu
Okay
 
Watoto wengi ni chanzo cha umaskini
Umasikini ni matokeo ya jitiada zako na harakati kufeli ama kua tofauti na ulivyo tarajia.
Watoto kama hauna uwezo wa kuwahudumia "hata mmoja" usizae
 
By the way....
Watoto wengi ni kuanzia wangapi..??
 
Kila mtoto ana baraka yake ukipata nafasi ya kuzaa au kuzalisha itumie vizuri
Huu msemo ulisha pitwa nabwakati mkuu.
Ukizaa watoto basi nivyema ukajua/ukaweza kuwahudumia.
Kwakifupi, zaa kutokana na uwezo wako wa kuwasomesha, kuwatibu, kuwalisha, kuwavisha na mahitaji mengine ya lazima kwa mtoto.
 
Watoto wengi ni chanzo cha umaskini
Hakuna mtu amewahi kuwa tajiri kwa kuwa na watoto wachache.
Na hakuna ambaye amewahi kuwa maskini kwa kuwa na watoto wachache.
Utajiri na umaskini ni akili ya mtu.
Kama bongo lala hata awe Hana mtoto atakuwa maskini
 
Napenda niwe n watoto wengi ila uchumi hauruhusu ila kama ungeruhusu ningevunja record ya dunia 😊
 
zamani wazee wetu kazaa kidogo watoto 7 sikuizi ukiwa na 3 tu we mwamba
 
Back
Top Bottom