system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
Hatari yake niniDuuh hii hatari sana
Faida ni ipi na hasara ni ipi?
Karibu kwa mjadala kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaotegemea kujenga familia.
Raha zipi. Dadavua.Kama una uwezo mzuri wa kuwahudumia na kuwatunza, watoto wengi wanaraha yake.
Kiaje yaanikua na watoto ni majaaliwa lakini kupangilia kutokana na kipato chako ni LAZIMA
kama kipato chako kinarushu watoto watano ni sawa kua nao lakini kama hakikuruhusu kua na watoto ambao utaweza kuwahudumia, na kuhudumia familia hutegemeanana vipato vyenu ndio point yanguKiaje yaani
Okaykama kipato chako kinarushu watoto watano ni sawa kua nao lakini kama hakikuruhusu kua na watoto ambao utaweza kuwahudumia, na kuhudumia familia hutegemeanana vipato vyenu ndio point yangu
Ki vp sasaWatoto wengi ni chanzo cha umaskini
HaahahaKila mtoto ana baraka yake ukipata nafasi ya kuzaa au kuzalisha itumie vizuri
Umasikini ni matokeo ya jitiada zako na harakati kufeli ama kua tofauti na ulivyo tarajia.Watoto wengi ni chanzo cha umaskini
Huu msemo ulisha pitwa nabwakati mkuu.Kila mtoto ana baraka yake ukipata nafasi ya kuzaa au kuzalisha itumie vizuri
Hakuna mtu amewahi kuwa tajiri kwa kuwa na watoto wachache.Watoto wengi ni chanzo cha umaskini