Mjamzito mie leo nilikuwa na hamu ya kula vitumbua....

Mbona mama kijacho unafanya name calling?

Cc:
Moderator
 
Nahuja ni mwanamke wa kipare. Sifa yao moja ni utelezi uliotukuka na mimba ni chap chap kutokana na kuwa na kina kifupi chembamba.
Mkuu mtafute GENTAMYCiNE.anakuthibitishia kuwa huyu DUME.sijui kwanin kavurugwa siku hiz huyu mtu.yaan kama chizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli kabisaaa,tabora unaweza kaa robo saa baa au grosary wahudumu wanakuangalia tu na wakija wanajivuta weee

Koromije soko kuu wakaka wachangamfu ila wamama wakorofi hawana sura ya kirafiki kabisa. Ukiulizia kitu nunua sio unaulizia hiki mara kile anakukata jicho huku kanuna
Hasa hapa kwetu kwenye jiji letu hili.
Pia mkoa wa Tabora hasa pale Tabora mjini nao pia kwenye biashara hawako vizuri hadi kwenye baa wahudumu hawajali wateja!!!
 
Hujambo Hajar. Kumbe unapenda maziwa mama
 
Hahaaaa. Nimefurahi tu ulivyojitolea kwa moyo ili Hajar apate kunywa akipendacho lol.

ukhuty yuko busy na kupika cha jioni hivyo hapiti huku mida hii.

Sawa mikono nyuma uwe na jioni njema.
Poa ,siunajua wewe ni mke wa mtu na hapa tunaongelea ni uchochoroni yoyote akipita katufumania,mbaya zaidi unamuita na ukhuty [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji390]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…