- Thread starter
- #41
Nampenda sana yule kaka, hasa KAMZUZU kakehe he he he
we cheka tu, unajua madereva wana tabia mbaya sana.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampenda sana yule kaka, hasa KAMZUZU kakehe he he he
we cheka tu, unajua madereva wana tabia mbaya sana.....
mchokozi sana huyo mtu kwa kweli. namchukia sanaHahah!! sawa sawa.....
Kwakua umeshamjua na umejua jinsi ya kudeal nae basi haina shida. Maisha yaendeleemchokozi sana huyo mtu kwa kweli. namchukia sana
Ha ha haNampenda sana yule kaka, hasa KAMZUZU kake
Nimesha mu ignore tayariKwakua umeshamjua na umejua jinsi ya kudeal nae basi haina shida. Maisha yaendelee
Mbona mama kijacho unafanya name calling?Ngoja nikuweke ignore list maana kuna comment kule nilikujibu kuwa uache kuja ma ID lundo humu JF. Wewe ni HR 66, The List, Joji pola, Yeezus, CURRICULUM, sasa Jumapili umefungua tena hii teketeke. Halafu kule nilikuambia hivi, katika watu ninaowachukia JF wewe ni namba moja, NAKUOMBEA UFE. Sijawahi kumuombea mtu kifo, lakini wewe nakuombea ugongwe na gari hata muda huu ufe hapo hapo hapo. NAKUCHUKIA SANA HR 66 ambaye kwa sasa umejiita teketeke
Mkuu mtafute GENTAMYCiNE.anakuthibitishia kuwa huyu DUME.sijui kwanin kavurugwa siku hiz huyu mtu.yaan kama chizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nahuja ni mwanamke wa kipare. Sifa yao moja ni utelezi uliotukuka na mimba ni chap chap kutokana na kuwa na kina kifupi chembamba.
Hasa hapa kwetu kwenye jiji letu hili.
Pia mkoa wa Tabora hasa pale Tabora mjini nao pia kwenye biashara hawako vizuri hadi kwenye baa wahudumu hawajali wateja!!!
Hujambo Hajar. Kumbe unapenda maziwa mamaHahaa. Mie sina hali kama yako ila umenikumbusha sehemu moja hivi nilienda kwa lengo la kununua maziwa yale ya jumla yanayotoka sehemu mbalimbali huwezi amini nimefika pale kumbe wale wachuuzi wadogo wameyanunua na wana wateja wao maalum nilipofika pale kila ninayemuuliza ananiambia SIUZI na ukiangalia maziwa wanayo.
Wanakera sana hao aisee sa sijui kuna shida gani kumjibu mtu kistaarabu na akawaelewa ni gharama gani. Inabidi wabadilike aisee.
Sijambo mikononyuma nayapenda sana, maziwa fresh na yale ya mgando. Teh teh.Hujambo Hajar. Kumbe unapenda maziwa mama
Karibu tutaweka bili apa jirani kwa MbisseSijambo mikononyuma nayapenda sana fresh na yale ya mgando. Teh teh.
Kwani una mifugo niwe nakuja kudowea. Hahahaaaa.
Hahahaa. Ahsante sana ntakaribia basi.Karibu tutaweka bili apa jirani kwa Mbisse
Umekumbuka nini mbona umeanza na cheko? Poa bye Ukhuty asije kukusemeaHahahaa. Ahsante sana ntakaribia basi.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hahaaaa. Nimefurahi tu ulivyojitolea kwa moyo ili Hajar apate kunywa akipendacho lol.Umekumbika nini mbona umeanza na cheko? Poa bye Ukhuty asije kukusemea
Poa ,siunajua wewe ni mke wa mtu na hapa tunaongelea ni uchochoroni yoyote akipita katufumania,mbaya zaidi unamuita na ukhuty [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji390]Hahaaaa. Nimefurahi tu ulivyojitolea kwa moyo ili Hajar apate kunywa akipendacho lol.
ukhuty yuko busy na kupika cha jioni hivyo hapiti huku mida hii.
Sawa mikono nyuma uwe na jioni njema.
Hahahaa. Kumbe hapa ni uchochoroni eee. Pole basi mikononyuma. Teh tehPoa ,siunajua wewe ni mke wa mtu na hapa tunaongelea ni uchochoroni yoyote akipita katufumania,mbaya zaidi unamuita na ukhuty [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji390]