Bora Mungu alikusimamia hukubinua mihogo ya watu! hahahahahahahah si unajua tena hasira ni hasaraWafanyabiashara wengi ndivyo walivyo hasa pale wapatapo tenda kubwa au kua na wateja wengi wanaonunua bidhaa zao kwa wingi..inakera sana hii tabia..nimewahi dharauliwa hadi nikatamani kubidua karai la mihogo...WANAKERA HAWA WATOA HUDUMA..shubbaaaat!
hahahahhaahhah, biashara inategemea na mazingira kuna mikoa mingine mfano Kilimanjaro wanajua sana kushawishi mtu hadi unanunua bidhaa zake lakini huku Mwanza uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!
tehe tehe sawa mkuuHuku mwanza woiii..ninaondoka mara kadhaa bila hata ya nilichofata. [emoji57][emoji57]
tehe tehe sawa mkuu
Wanakera sana sana.Lugha ya biashara ni siuzi, sina chenchi, siuzi moja alafu mtu anakujibu huku anaondoka au anafanya mambo mengine
Yani mbona alinisimamia maana nusura nibinueBora Mungu alikusimamia hukubinua mihogo ya watu! hahahahahahahah si unajua tena hasira ni hasara
hahahahahah, angekushitakiYani mbona alinisimamia maana nusura nibinue
Nampa hongera aliyeweza kusababisha hali ya ujauzito, huenda alifaudu sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125].hahahahahah, angekushitaki
Mie nimejifunza kupoint wauzaji wangu maalumuHahaa. Mie sina hali kama yako ila umenikumbusha sehemu moja hivi nilienda kwa lengo la kununua maziwa yale ya jumla yanayotoka sehemu mbalimbali huwezi amini nimefika pale kumbe wale wachuuzi wadogo wameyanunua na wana wateja wao maalum nilipofika pale kila ninayemuuliza ananiambia SIUZI na ukiangalia maziwa wanayo.
Wanakera sana hao aisee sa sijui kuna shida gani kumjibu mtu kistaarabu na akawaelewa ni gharama gani. Inabidi wabadilike aisee.
Sasa shogaa si bora unipe mie hiyo tendaKuna mmoja tunanunuaga chakula kwake. Unapiga simu saa tano mpaka saa tisa hajaleta chakula. Halafu ukienda anakwambia kimeisha. Na hapo katikati ni unapiga simu muda wote hapokei au anakwambia kinakuja. Jana nimepiga simu saa sita mpaka saa nane chakula hakiji. Nikamfuata anasema eti nilichoagiza kiliisha. Yani niliongea kwa hasira mpaka natetemeka. Napenda chakula chake ila siendi tena kwake na marafiki zangu nikawaambia tusiende tena. So kashapoteza wateja watano wa ofisini kwetu
Tatizo ni mbaliSasa shogaa si bora unipe mie hiyo tenda
Mbali ya wapii? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo ni mbali
Jamani napenda wadada wenye mimba.Ngoja nikuweke ignore list maana kuna comment kule nilikujibu kuwa uache kuja ma ID lundo humu JF. Wewe ni HR 66, The List, Joji pola, Yeezus, CURRICULUM, sasa Jumapili umefungua tena hii teketeke. Halafu kule nilikuambia hivi, katika watu ninaowachukia JF wewe ni namba moja, NAKUOMBEA UFE. Sijawahi kumuombea mtu kifo, lakini wewe nakuombea ugongwe na gari hata muda huu ufe hapo hapo hapo. NAKUCHUKIA SANA HR 66 ambaye kwa sasa umejiita teketeke
[emoji23][emoji23][emoji23]. Temeke mpenzi. Tatizo wateja napo wanaweza zingua.Mbali ya wapii? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona napeleka mpaka picha ya ndege?
Hahaaaa sema unaninyima tu,[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Temeke mpenzi. Tatizo wateja napo wanaweza zingua.
Sikunyimi kweliHahaaaa sema unaninyima tu,[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli kabisa na sio siri wanahitaji kubadilika.Mie nimejifunza kupoint wauzaji wangu maalumu
80% ya wauzaji hawana kauli ya biashara na hawajui wanapoteza kiasi gani.
Wanaridhika na kitu kidogo sana wanavyoona wateja wawili watatu wanaamini wamemaliza kumbe wanaweza zaidi ya hapo.
Kiukweli wachuuzi ni tatizo sana kwenye kauli.