Mjamzito mie leo nilikuwa na hamu ya kula vitumbua....

Mjamzito mie leo nilikuwa na hamu ya kula vitumbua....

Pole sana...

Hao ambao hawana lugha nzuri ya kibiashara hata maeneo wanayofanyia hizo biashara siyo rasmin/halali...

Cc: mahondaw
Tatizo la huku Mwanza mfanyabiashara akiuza mfululizo basi anakuwa na dharau, hata kwenye baa wako hivyo hivyo
 
Wafanyabiashara wengi ndivyo walivyo hasa pale wapatapo tenda kubwa au kua na wateja wengi wanaonunua bidhaa zao kwa wingi..inakera sana hii tabia..nimewahi dharauliwa hadi nikatamani kubidua karai la mihogo...WANAKERA HAWA WATOA HUDUMA..shubbaaaat!
Bora Mungu alikusimamia hukubinua mihogo ya watu! hahahahahahahah si unajua tena hasira ni hasara
 
Huku mwanza woiii..ninaondoka mara kadhaa bila hata ya nilichofata. [emoji57][emoji57]
hahahahhaahhah, biashara inategemea na mazingira kuna mikoa mingine mfano Kilimanjaro wanajua sana kushawishi mtu hadi unanunua bidhaa zake lakini huku Mwanza uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!
 
Hahaa. Mie sina hali kama yako ila umenikumbusha sehemu moja hivi nilienda kwa lengo la kununua maziwa yale ya jumla yanayotoka sehemu mbalimbali huwezi amini nimefika pale kumbe wale wachuuzi wadogo wameyanunua na wana wateja wao maalum nilipofika pale kila ninayemuuliza ananiambia SIUZI na ukiangalia maziwa wanayo.

Wanakera sana hao aisee sa sijui kuna shida gani kumjibu mtu kistaarabu na akawaelewa ni gharama gani. Inabidi wabadilike aisee.
Mie nimejifunza kupoint wauzaji wangu maalumu
80% ya wauzaji hawana kauli ya biashara na hawajui wanapoteza kiasi gani.

Wanaridhika na kitu kidogo sana wanavyoona wateja wawili watatu wanaamini wamemaliza kumbe wanaweza zaidi ya hapo.

Kiukweli wachuuzi ni tatizo sana kwenye kauli.
 
Kuna mmoja tunanunuaga chakula kwake. Unapiga simu saa tano mpaka saa tisa hajaleta chakula. Halafu ukienda anakwambia kimeisha. Na hapo katikati ni unapiga simu muda wote hapokei au anakwambia kinakuja. Jana nimepiga simu saa sita mpaka saa nane chakula hakiji. Nikamfuata anasema eti nilichoagiza kiliisha. Yani niliongea kwa hasira mpaka natetemeka. Napenda chakula chake ila siendi tena kwake na marafiki zangu nikawaambia tusiende tena. So kashapoteza wateja watano wa ofisini kwetu
Sasa shogaa si bora unipe mie hiyo tenda
 
Ngoja nikuweke ignore list maana kuna comment kule nilikujibu kuwa uache kuja ma ID lundo humu JF. Wewe ni HR 66, The List, Joji pola, Yeezus, CURRICULUM, sasa Jumapili umefungua tena hii teketeke. Halafu kule nilikuambia hivi, katika watu ninaowachukia JF wewe ni namba moja, NAKUOMBEA UFE. Sijawahi kumuombea mtu kifo, lakini wewe nakuombea ugongwe na gari hata muda huu ufe hapo hapo hapo. NAKUCHUKIA SANA HR 66 ambaye kwa sasa umejiita teketeke
Jamani napenda wadada wenye mimba.
Njoo kwangu ukae hata wiki..
Lol
 
Kuna mwenzio alianzisha uzi wa KALA KITUMBUA AKATAPIKA hapo hapo kwenye kitumbua, mtafute akupa tips na kuepuka kutapika.
 
Mie nimejifunza kupoint wauzaji wangu maalumu
80% ya wauzaji hawana kauli ya biashara na hawajui wanapoteza kiasi gani.

Wanaridhika na kitu kidogo sana wanavyoona wateja wawili watatu wanaamini wamemaliza kumbe wanaweza zaidi ya hapo.

Kiukweli wachuuzi ni tatizo sana kwenye kauli.
Kweli kabisa na sio siri wanahitaji kubadilika.
 
Back
Top Bottom