Mjamzito mie leo nilikuwa na hamu ya kula vitumbua....

Mjamzito mie leo nilikuwa na hamu ya kula vitumbua....

Kweli kabisaaa,tabora unaweza kaa robo saa baa au grosary wahudumu wanakuangalia tu na wakija wanajivuta weee

Koromije soko kuu wakaka wachangamfu ila wamama wakorofi hawana sura ya kirafiki kabisa. Ukiulizia kitu nunua sio unaulizia hiki mara kile anakukata jicho huku kanuna
Sehemu zote zenye asili ya umwinyi wana hiyo tabia ya kuignore wateja. Tatizo wakishaingiza sh 2 3 wakala wakshiba wanaona wateja wote mafala tu.
 
Me namsubiri mtoto nikutumie pampers ila kuna wafanyabiashara sijui kwa nn wanapenda kudharau mteja hata kama ananunua kidogo pole NAHUJA
Kuna mmoja tunanunuaga chakula kwake. Unapiga simu saa tano mpaka saa tisa hajaleta chakula. Halafu ukienda anakwambia kimeisha. Na hapo katikati ni unapiga simu muda wote hapokei au anakwambia kinakuja. Jana nimepiga simu saa sita mpaka saa nane chakula hakiji. Nikamfuata anasema eti nilichoagiza kiliisha. Yani niliongea kwa hasira mpaka natetemeka. Napenda chakula chake ila siendi tena kwake na marafiki zangu nikawaambia tusiende tena. So kashapoteza wateja watano wa ofisini kwetu
 
Yaan sipati picha kama nakuona
 
Yaan sipati picha kama nakuona
Alinikera sanaa. Hela yangu bado uninyanyase nayo. Alinipigia simu dada blah blah nikamwambia endelea ila wateja wako wanakusema sana badilika. Kuna siku kuna dada alikuja akamwambia siku nikija hapa nimwagie mafuta. Sababu tu ya huduma zake mbovu.
 
Anakosea sana
 
Anakosea sana
Sana wakunyumba. Unajua niliuliza huyu mbona hivi nikaambiwa alikuaga hivyo zamani watu wakamuhama sasa hiv watu wamerudi tunaona kaanza tena.
Sasa kuna siku nimeagiza chakula kikaja wakampa mtu mwingine [emoji23][emoji23][emoji23]. Napiga simu chakula hakifiki wananiambia kaja ofisini kwako haupo. Jamani. Baadae naenda nawauliza vipi eti huyo niliemtuma alimkuta M akampa akajua ni wewe. Nilimuuliza tu kwani we ni mkichaa au mpumbavu usiejua kumjibu mtu inavyostahili. Ungesema tu nimempa mtu nitoe order ingine. Yule baba Mungu ambariki siku wateja wake waishe labda atajifunza kuvalue wateja wake.
 
tapatalk_1522175781053.jpeg
NAHUJA: nimekununulia kwa mama mwamvua hivyo
 
Ngoja nikuweke ignore list maana kuna comment kule nilikujibu kuwa uache kuja ma ID lundo humu JF. Wewe ni HR 66, The List, Joji pola, Yeezus, CURRICULUM, sasa Jumapili umefungua tena hii teketeke. Halafu kule nilikuambia hivi, katika watu ninaowachukia JF wewe ni namba moja, NAKUOMBEA UFE. Sijawahi kumuombea mtu kifo, lakini wewe nakuombea ugongwe na gari hata muda huu ufe hapo hapo hapo. NAKUCHUKIA SANA HR 66 ambaye kwa sasa umejiita teketeke
Duuuhhh umefukua makabur
 
Kwa hali yangu hii ya ujauzito, leo nimeamka na hamu kubwa ya kula vitumbua.
Nimepita kwa mama mchoma vitumbua (vizuri sana), nimemsalimia, hakuitikia, nikaona isiwe shida. Kwa kuwa najua bei ya vitumbua ni Tshs.200/= kwa kitumbua kimoja sikuwa na haja ya kuuliza bei bali nikamwambia anipatie vitumbua viwili (2), akanijibu tena bila kuniangalia usoni, "S I U Z I". Nikabaki mdomo wazi, kwa pembeni alikuwepo kijana akanionea huruma, akaniambia kuwa hivyo vitumbua vyote nimevinunua napeleka hotelini. Nikamwambia basi niuzie kwa bei ya hotelini, akakubali akaniuzia vitumbua 2 kwa Tshs.1,000/=.

Hivi wafanya biashara ndogondogo wa jiji letu hili la Mongela kwanini mnakuwa na lugha ambayo haina mvuto kwa mteja? Nimebaini hilo tatizo siku nyingi, watu wa huku akiona biashara yake imeshamiri anakuwa na kiburi kwa wateja, hawajui kumshikilia mteja mpaka point ya mwisho.

Elimu ya Ujasiriamali hasa kipengele cha kutafuta masomo, kubuni mradi, kumhudumia mteja ni muhimu sana kwa watu hawa.

Hii habari nitaiendeleza baadae ngoja kwanza nimuone Dr. anipime mapigo ya mtoto wangu tumboni.
Nikiwa na hali kama yako ni kweli nilinyimwa virumbua ivyoivyo kwa kua vimenunuliwa vyote iliniuma sana.... Nilienda kushtak kwa mama mmoja alikasirika sana akachukia kabisa akasem alivyofanya si Sawa mjamzito hanyimwi chakula ..... Alimaanisha kua pengine hajala kutwa nzima akatamani icho chakula then unamyima c vizuri.... I

Ila uyo mama nilimchukia sana w vitumbua
 
Hadi leo unamchukia? hahahahhaha. Msamehe bwana
 
Ngoja nikuweke ignore list maana kuna comment kule nilikujibu kuwa uache kuja ma ID lundo humu JF. Wewe ni HR 66, The List, Joji pola, Yeezus, CURRICULUM, sasa Jumapili umefungua tena hii teketeke. Halafu kule nilikuambia hivi, katika watu ninaowachukia JF wewe ni namba moja, NAKUOMBEA UFE. Sijawahi kumuombea mtu kifo, lakini wewe nakuombea ugongwe na gari hata muda huu ufe hapo hapo hapo. NAKUCHUKIA SANA HR 66 ambaye kwa sasa umejiita teketeke
Naungana na wewe kumtakia kifo ila ningependa mfe wote.
 
Wafanyabiashara wengi ndivyo walivyo hasa pale wapatapo tenda kubwa au kua na wateja wengi wanaonunua bidhaa zao kwa wingi..inakera sana hii tabia..nimewahi dharauliwa hadi nikatamani kubidua karai la mihogo...WANAKERA HAWA WATOA HUDUMA..shubbaaaat!
 
Back
Top Bottom