Ameenda clinic na kueleza hilo?! Nashauri aende na watamfanyia vipimo.Sometimes kuumwa kichwa huwa inawapata wajawazito.Lkn anything in extreme hapo kuna mashaka
Mm c dactari Lakini nahisi ni upungufu wa damu.. Wahi hospitali tafadhali
Oookey ujue nini! Ki kawaida mimba huwa zinakuja na mambo mengi sana kitabia (sio ugonjwa) ila kwa huyo ndugu yako hebu jaribu kumpeleka hsptl hapo mtamueleza dkt kwa kina kisha atajua ni dawa gani atampa kwa huo muda hadi atakapojifungua :Nb asimeze dawa kiholela bila ushauri wa kitaalamu akiwa ktk hali ya ujauzito dr D.o.d
hebu msindikize clinic, jana nilishinda clinic hadi hoi....Asante kaka, sijajua miezi sahihi ila kati ya mitatu au minne hivi
Ni mimba yake ya ngapi? Na ana umri gani? Je ameolewa au kaipatia tu nyumbani? Dr D.o.D
Mm c dactari Lakini nahisi ni upungufu wa damu.. Wahi hospitali tafadhali
Anywe maji mengi,mm pia nilikua na hilo tatizo,nikashauriwa kunywa maji,kila siku nakunywa lita tatu,na sijaumwa kichwa tena!