Mjane amegoma kurithiwa na shemeji yake!

Litakuwa JINGA. Hamna mwanaume hapo.
Anasikitisha sana, hao walikuwa wana mcheat mwamba hata kipindi yupo hai sasa wamepata nafasi ya kufanya yao live baada ya mwamba kuvuta. Wanawake walivyo na upendo wengi hubakiaga wajane hadi unauti nao unawakita ila haya ya siku hizi mume anakufa leo mwezi ujao ana bwana
 
Huyo mwanamke malaya malaya tu, wajane ambao walikuwa waaminifu na kuwapenda waume zao haswaa, huwezi kuta anaolewa tena au kuwa na mwaume mwingine. Huyo malaya huenda hata alikuwa ana mcheat mume wake kipindi yupo hai na huyo mwanaume wake mpya

Inategemea na age. Mwanamke gani afiwe na mumewe huku yeye mwanamke akiwa na age ya 20s ama 30s halafu aishi bila mume mpaka uzeeni.. hizo n.y.e.ge si zitamuua mapema
 
Kabisa National, na Kama kashindwa kujizuia kibinadamu ana haki hiyo ila ni bora akaenda huko akafanywa ila si hapo kwa marehemu.
 
Mjane mmoja huku kitaa aliyefiwa na mumuwe na kuachiwa mi mali yakushiba ikiwemo mi jumba ya kifayari, mindinga ya maana na ma maduka ya ujazo yote amegoma kurithiwa na shemeji yake. Shemeji mtu ni kaka wa marehemu hivo alitaka amrithi huyo mjane ili mali zisiende mbali na nyumbani. Sasa huyo mjane amegoma na anataka alete boya wake ndio waishi naye. Je, ni haki kweli? Kwanini agome kurithiwa?
Sheria za Jamhuri zinaruhusu? Wosia wa marehemu unasema hivyo? Kaka mtu anaweza kusaidia bila kumla mke wa mdogo wake
 
Inategemea na age. Mwanamke gani afiwe na mumewe huku yeye mwanamke akiwa na age ya 20s ama 30s halafu aishi bila mume mpaka uzeeni.. hizo n.y.e.ge si zitamuua mapema
Hatukatai,ila tunachopinga ni kumegwa Kwenye nyumba ya marehemu.
 
Inategemea na age. Mwanamke gani afiwe na mumewe huku yeye mwanamke akiwa na age ya 20s ama 30s halafu aishi bila mume mpaka uzeeni.. hizo n.y.e.ge si zitamuua mapema
hata ujane akae hata mwaka plus, siku mbili tatu kaisha anza kutiwa kweli jamanii 🥹🥹🥹 kuanzia miaka 40 anaweza kuwa mjana na wapo na pia wapo hata 30 walio acha na kuamua kutulia, wanawake hawana nyege kama za kiume na mwanamke akiamua asitiwe anaweza kaa mda mrefu tofauti na Me
 
Huyo mwanamke malaya malaya tu, wajane ambao walikuwa waaminifu na kuwapenda waume zao haswaa, huwezi kuta anaolewa tena au kuwa na mwaume mwingine. Huyo malaya huenda hata alikuwa ana mcheat mume wake kipindi yupo hai na huyo mwanaume wake mpya
Mwamba hupepesi macho unapiga spana tu haaa haa.
 
Kimaadili siyo vizuri,halafu Hugo mwanaume anayetaka kupelekwa kwenye hiyo nyumba,ni mzima kweli?Jamani wanaume wengine waache vya dezo,kwanini asimshawishi mwanamke na amuhamishe hapo,akaishi nae kwingine,eti analetwa na mwanamke kwenye nyumba ya mwanaume mwenzake,ujinga sana huu.
Wazazi tuna jukumu la kuangalia aina ya malezi kwa watoto wetu wa kiume,watafikia mahali watalalwa kwa kupenda dezo.
 
Rithiwa wewe au arithiwe mkeo uone. Wakati wanatafuta wewe ulikua wapi? Mwacheni mtu ale alivyochuma. Hamjui alivyokua anaweka pozi kaka yenu akirudi amechoka. Leo mnamuona hana maana kisa?
Mjane mmoja huku kitaa aliyefiwa na mumuwe na kuachiwa mi mali yakushiba ikiwemo mi jumba ya kifayari, mindinga ya maana na ma maduka ya ujazo yote amegoma kurithiwa na shemeji yake. Shemeji mtu ni kaka wa marehemu hivo alitaka amrithi huyo mjane ili mali zisiende mbali na nyumbani. Sasa huyo mjane amegoma na anataka alete boya wake ndio waishi naye. Je, ni haki kweli? Kwanini agome kurithiwa?
 
Kimaadili siyo vizuri,halafu Hugo mwanaume anayetaka kupelekwa kwenye hiyo nyumba,ni mzima kweli?Jamani wanaume wengine waache vya dezo,kwanini asimshawishi mwanamke na amuhamishe hapo,akaishi nae kwingine,eti analetwa na mwanamke kwenye nyumba ya mwanaume mwenzake,ujinga sana huu.
Wazazi tuna jukumu la kuangalia aina ya malezi kwa watoto wetu wa kiume,watafikia mahali watalalwa kwa kupenda dezo.
Pamoja na upungufu wa anayeletwa ila bado anayetaka kumrithi mke wa ndugu yake ni mpumbavu maana anaweza hata kukuua ili arithi zote. Mali na mke.
 
Yote mawili hayafai,ila hilo la mwanaume kuletwa ndani,halifai zaidi,na kwa tahadhari tu,huyo mpenda dezo,awe makini,anaweza akahisiwa kua alikula njama,mwanaume afe ili awapishe,mwishowe auwawe kivingine.Aache kutaka vya dezo,ni hatari sana na inaleta picha mbaya kwa mtoto wa kiume.
 
Mali ni za watoto na mke. Na huyo mwanamke awe na adabu asipeleke mwanaume hapo kwenye mji wa mumewe.

Kama huyo jamaa aliyenae ni mtu wa kueleweka aende amfuate huko huko kisha arudi ila aheshimu mji wa mume wake.

Hivi ndio vitu vinafanya wajane wengi wana nyanyasika sababu ya kutojua namna ya kubehave baada ya msiba wa mume wake.

Hiyo ya shemeji kurithi mimi siungi mkono. Unalalaje na mke wa kaka yako au mdogo wako huko ni kukosa adabu. Labda kumsaidia majukumu ya kulea watoto wa kaka yake na kumsaidia kukimbizana na shughuli za mali ila sio habari za kuwa kimahusiano hiyo ni kukosa adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom