Mjane amegoma kurithiwa na shemeji yake!

Mjane amegoma kurithiwa na shemeji yake!

hata ujane akae hata mwaka plus, siku mbili tatu kaisha anza kutiwa kweli jamanii 🥹🥹🥹 kuanzia miaka 40 anaweza kuwa mjana na wapo na pia wapo hata 30 walio acha na kuamua kutulia, wanawake hawana nyege kama za kiume na mwanamke akiamua asitiwe anaweza kaa mda mrefu tofauti na

hata ujane akae hata mwaka plus, siku mbili tatu kaisha anza kutiwa kweli jamanii 🥹🥹🥹 kuanzia miaka 40 anaweza kuwa mjana na wapo na pia wapo hata 30 walio acha na kuamua kutulia, wanawake hawana nyege kama za kiume na mwanamke akiamua asitiwe anaweza kaa mda mrefu tofauti na Me
Yaani mtu kafiwa ana miaka 40 plus akae maisha yote bila kuwa na mtu. Kama ilivyo haki kwa manaume, mwanamke ana haki pia. Kinachotakiwa ni kujiheshimu. Kama ana miaka 6o anaweza kukaa ila chini ya hapo ni kujitesa
 
Mbona wapo wanakaa hata waliondokewa wakiwa na miaka 30, Huwajui wanawake vizuri. Mwanake ukaishi nae vyema ukaingia moyoni mwake alafu akafa hato kuja kutiwa tena hadi mkutane mbinguni 😁😁😁😁.. sema huyu anae taka kutiwa kwa nyumba ya marehemu kazingua
 
Ata Mimi ningekataa ,kurithiwaa u sawa huuu jamani ,.....

Yaani mtu kafiwa ana miaka 40 plus akae maisha yote bila kuwa na mtu. Kama ilivyo haki kwa manaume, mwanamke ana haki pia. Kinachotakiwa ni kujiheshimu. Kama ana miaka 6o anaweza kukaa ila chini ya hapo ni kujitesa
Kujiheshimu ni pamoja na kutoleta mwanaume ndani.
 
Kujiheshimu ni pamoja na kutoleta mwanaume ndani.
Hayo ya kuleta ndani sijayaongelea. Ila wanzanzibar wako fair sana, mwanamke akifiwa na mwanaume anaweza olewa na na mume mwingine na wakaishi kwenye nyumba waliyokuwa wanaishi na marehemu mume wake
 
Mbona wapo wanakaa hata waliondokewa wakiwa na miaka 30, Huwajui wanawake vizuri. Mwanake ukaishi nae vyema ukaingia moyoni mwake alafu akafa hato kuja kutiwa tena hadi mkutane mbinguni 😁😁😁😁.. sema huyu anae taka kutiwa kwa nyumba ya marehemu kazingua
Unajuaje, wengi wanakuwa wasiri mno hata huwezi jua kuwa ana mtu. Anyway, kila mtu ana maamuzi yake ya kuolewa tena au la, na maamuzi yaheshimiwe
 
Na
Hayo ya kuleta ndani sijayaongelea. Ila wanzanzibar wako fair sana, mwanamke akifiwa na mwanaume anaweza olewa na na mume mwingine na wakaishi kwenye nyumba waliyokuwa wanaishi na marehemu mume wake
Namimi sina shida na kuolewa kwake,shida ni kuleta mwanaume ndani.Tuzingatie mila na desturi za maeneo husika.
 
Bado jamii zetu hasa wanaume tuna mitizamo hasi juu ya kiumbe mwanamke.....bado jamii inamtizama mwanamke kama mdoli wa mwanaume na sio kiumbe kamili.......

Ni hatari sana kuishi na fikra hizi kwenye zama hizi ambazo jamii na muundo wa kijamii Unatoa fursa sawa kwa jinsia zote......

Suala la kufiwa na mume ni jambo la kuhuzunisha na lenye simanzi lakini hata baada ya tukio hilo bado mahitaji ya kimaumbile yanaendelea(nyege), ambapo kimaumbile lazima awepo mtu wa kutuliza hali hiyo ya kimwili....na mwanamke ana haki ya kuchagua mtu hivyo kwa utashi wake katika njia iliyo halali.....

Katika upande kurithi nadhani ni utaratibu uliopitwa na wakati na unazika uhuru na utashi wa mwanamke hasa katika ulimwengu wa Sasa uliostaarabika.......kwa kifupi ni utaratibu unaopaswa kupingwa kwa kila mtu au jamii ya watu wenye akili timamu.........

Kimsingi hata hao wanaolazimisha au kujifanya waumini wa mila hizo ni wale wanaosukumwa na tamaa na sio kumsaidia mama mjane.....ndio maana unakuta migogoro ya kurithiana inazuka sana kwenye familia zenye kipato kikubwa kwa maana ya mali.........huku zile familia za wajane wenye vipato duni wakiachwa wahangaike na watoto wao........

Kuhusu suala huyo mama kumleta mwanaume kuishi naye hapo katika hali y kawaida inaleta ukakasi kwa kuwa mwanaume ndio anatakiwa ampeleke mwanamke kwenye mji wake na sio kinyume chake...........

Nadhani kama Wana ukoo wakiongozwa na busara bado wanayo nafasi ya kutatua mgogoro kwa amani na kila mtu akabakia na furaha na Muunganiko wa kifamilia bila kuingiza tamaa za mali....
 
Na anaweza akakamilisha misheni yake na kupambana na maadui zake

Usisahau One coin two sides
Kama ana washauri wa aina yako,aende tu,akaishi kwa huyo mwanamke,utakuja kuniambia hapa siku zijazo.Tena bora kawashiwa taa mapema,udezodezo siyo mzuri,tujifunze kutafuta vyetu.
 
Endeleeni kusema hivyo nyie ndio mnawaita wakina mwijaku chawa huku msosi ni wa kuunga kumbe watu wana akili zao
You know nothing about maisha ya member wa JF nje ya JF hivyo usihitimishe. Mwanaume kwenda kuishi kwa mwanamke aliyefiwa na mumewe ni UPUMBAVU na kukosa heshima kwa watoto wa marehemu. Angalau angemshauri aipangishe wao wakapange.
 
Anasikitisha sana, hao walikuwa wana mcheat mwamba hata kipindi yupo hai sasa wamepata nafasi ya kufanya yao live baada ya mwamba kuvuta. Wanawake walivyo na upendo wengi hubakiaga wajane hadi unauti nao unawakita ila haya ya siku hizi mume anakufa leo mwezi ujao ana bwana
Wewe kuweza? Ndo tuchukulie mfano kwako, mkeo kafariki kwahiyo wewe utakaa tu mgane mpaka umauti wako? Au unajiongelea tu hapa kuwapa watu faida
 
Wewe kuweza? Ndo tuchukulie mfano kwako, mkeo kafariki kwahiyo wewe utakaa tu mgane mpaka umauti wako? Au unajiongelea tu hapa kuwapa watu faida
Inawezekana, kwasababu wapo wanawake ambao hawakurudi tena kuwa na mahusiano baada wa wenza wao kuondoka. Lakini pia sio kwamba ita work kwa wote, isipokuwa heshima muhimu mjane anapo amua kuwa na mausiano mapya
 
Akili za wanawake bhana.
Hivi akiolewa na mwanaume mwingine anakuwa hajarithiwa?
Si huyo mwanaume amerithi mjane?
Ana utofauti gani na ndugu wa marehemu?
Ni kutaka kutapanya Mali za familia tu.
Aondoke akaolewe na huyo mwanaume waishi huko inje Mali waache kwa ajili ya watoto
 
Matrimonial home ni nyumba ya mke na mume, mume akifa mke anahaki ya kuleta mwanaume mwengine kama ambavyo mwanaume ana haki hiyo mke akifa. Lakini kwenye angle ya kimaadili nakubaliana na wewe.
Hata mwanaume kumleta mke mpya katika nyumba uliyoishi na marehemu mkeo sio vizuri. Pale nyumba ni ya watofo wa marehemu na aliyebaki hai kwa makabila,mengi hata huyo aliyebaki atakapoondoka itarithiwa na mtoto wa mwishio wa kiume.
 
Back
Top Bottom