MONTESQUIEU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 847
- 80
Nimesikia hii katika pitapita yangu but sijamini, eti kuna baadhi ya mira zetu hapa Tanzania kama mtu kafiwa na Mumewe, kuna watu lasimi wanao itwa watakasaji, Wanatakiwa kutembea na mfiwa kama kuondoa nuksi ili aweze kuolewa tena .
Jaman na janga hili la ukimwi haya mambo yapo kweli hapa Tanzania?
Mila nyingine zimepitwa na wakati ni vema kuachwa mara moja
yapo na wewe unataka kutakaswa???
hichi kitendo ni common sana Ukerewe.........na kuna professional watakasaji.
Tumeipigia kelele kidogo lakini ningumu sana kutoka kwa urahisi katika jamii hiyo ya wakerewe.
ehe kumbe kweli hii !
Watafute wakerewe wakueleze! mila nyingine ni aibu tupu.
He miye tena? ni makabira gani hayo please nisaidie!
NI PM nije kukutakasa MREMBO
Natafuta mtu wa kumtakasa house maid wangu
Haijalishi unaweza anza tizi za kutakaswa au?cheo sio issue mamlaka ndio la maanaMie si mjane, na wewe ni mkerewe?
Na uko na cheo cha kutakasa?
Haijalishi unaweza anza tizi za kutakaswa au?cheo sio issue mamlaka ndio la maana
Nilikuwepo
Natafuta mtu wa kumtakasa house maid wangu