Mjane lazima atakaswe!

Mjane lazima atakaswe!

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
847
Reaction score
80
Nimesikia hii katika pitapita yangu but sijamini, eti kuna baadhi ya mila zetu hapa Tanzania kama mtu kafiwa na Mumewe, kuna watu rasimi wanao itwa watakasaji, Wanatakiwa kutembea na mfiwa kama kuondoa nuksi ili aweze kuolewa tena .

Jaman na janga hili la ukimwi haya mambo yapo kweli hapa Tanzania?
 
Mila nyingine zimepitwa na wakati ni vema kuachwa mara moja
 
Nimesikia hii katika pitapita yangu but sijamini, eti kuna baadhi ya mira zetu hapa Tanzania kama mtu kafiwa na Mumewe, kuna watu lasimi wanao itwa watakasaji, Wanatakiwa kutembea na mfiwa kama kuondoa nuksi ili aweze kuolewa tena .

Jaman na janga hili la ukimwi haya mambo yapo kweli hapa Tanzania?

yapo na wewe unataka kutakaswa???
 
hichi kitendo ni common sana Ukerewe.........na kuna professional watakasaji.
Tumeipigia kelele kidogo lakini ningumu sana kutoka kwa urahisi katika jamii hiyo ya wakerewe.
 
hichi kitendo ni common sana Ukerewe.........na kuna professional watakasaji.
Tumeipigia kelele kidogo lakini ningumu sana kutoka kwa urahisi katika jamii hiyo ya wakerewe.

ehe kumbe kweli hii !
 
Natafuta mtu wa kumtakasa house maid wangu
 
hebu rekebisha kiswahili kiwe sahihi ni mila sio mira na ni rasmi sio lasimi please
 
Back
Top Bottom