Mjane wa Augustino Mrema ajumuishwa kwenye mirathi

Kuna mama mmoja alifiwa na mume wake, fasta akauza nyumba kabla ya ndugu kusanuka wamtimue akaenda kununua nyumba nyingine na akahamia huko akawa amewapoteza maboya ndugu wa mume wake wasimletee undava. Mwingine naye alifiwa na mume ndugu wa mume wakavamia nyumba wakitafuta hati ya nyumba na kuziteka mali za ndugu yao ili mwanamke asiwawahi ujanja na kujimilikisha mali bila ndugu wa mume kupenda. Wanandugu nao ni washenzi, wakati ndugu yao na mke wake wanachuma mali wao waliwasaidia? Tuwatetee wajane kwa nguvu zote wasidhulumiwe na ndugu za waume zao
 
Ndio maana Mungu alisema anachukia wana ndoa kuachana

Malaki 2:16​

“Ninachukia kuachana,” asema BWANA, Mungu wa Israeli, “pia nachukia mtu anayejivika jeuri kama vazi,” asema BWANA Mwenye Nguvu Zote.Kwa hiyo jihadharini wenyewe katika roho zenu, wala msije mkavunja uaminifu##Ukisha achana na mke au mume kinachofuata ni vurugu tu,hasa kama mna watoto...
 
UNAONGELEA KESI HII YA MREMA AU UNAONGELEA NYINGINE?
 
Wewe unaweza kuweka thamani halisi ya yale yote aliyomfanyia marehemu mrema na akafurahiaa uwepo wake katika hizo siku 150 Ili ndio uwe urithi wake??
Unaweza kuta siku 150 alizoishii na Marehemu yalikuwa ni masiku ya faraja na thamani kubwa kwa Mrema, kuliko miaka 40 aliyoishi na mke wa kwanza.Who knows?
 
...Miezi MITANO na Siku Kadhaa....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…