Mjane wa Augustino Mrema ajumuishwa kwenye mirathi

km mama yao atadhulumiwa wana kila sababu ya kudai
Mama yao si ndio kafariki, halafu sasa waende kwa mume na watoto halali wa marehemu mama yao kudai mali, mali ambazo mume halali kachuma kwa msaada wa mke wake na watoto wake. hiyo inakaaje kaaje. Ukizingatia baba yao ambae ndiye mchepuko tu kwa marehemu mama yao nae ndio anasubiri wapewe mgao ili achukue mali ambazo hajachuma kupitia watoto wake haramu?

Sheria inaruhusu hilo, sheria hiyo ilitungwa na wendawazimu au watu wenye akili timamu?
 
Very complicated.
Yote kwa yote, msimamo wa mwenye mali (Marehemu Mrema) ni muhimu uheshimiwe (mke wa mchongo naye kuvuna mali za Mrema) hata kama msimamo huo unatuudhi wengi wetu.

Binafsi sijafurahi Mke wa mchongo kuwa sehemu ya warithi, alipaswa kupewa asante tu kisha asepe zake. Upande wa pili nimefurahi mke wa mchongo kunyimwa nafasi ya usimamizi wa mirathi.
 
Hapo kwenye vyeti vya kuzaliwa tu kutumika kama uthibitisho wa watoto wa nje wa Marehemu pamekaa vibaya sana huko tuendako. Kwa kuwa jamii ya marehemu haikuwahi kufahamishwa hilo, ilipaswa uchunguzi wa ziada utumike ikiwemo DNA etc.

Kuchakachua cheti cha kuzaliwa ni jambo rahisi sana zama hivi.
 
Huyo ni mungu wa Israel

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
hajajumuishwa "ajajumuishwa" ni kiswahili cha BURUNDI.

The caveat is partly dismissed, in that the caveator Doris Agness.Augustin Mkandala has not been appointed to co-administer the estate of the late Augustino Lyatonga Mrema.
 
Na mimi nimeshangaa. Ukizingatia Tanzania kupata vyeti vya kuzaliwa ni rahisi mno. Yaani mtu anaweza kuwa na cheti cha kuzaliwa kinachoonyesha Jakaya kikwete ndo Baba yake.
Hatari sana hiii
Yaani mtu anaandika tu 🤣😂 maana ukoo wa mrema ni mkubwa kama hakuna ndugu anaye wafahamu hao watoto wa nje ni utata huo
 
km amefariki naona kuna mtiti hapo..
 
Mkeka umetick...

Hapo sasa Doreen anaweza hata akaolewa na marehemu mtarajiwa mwingine...
 
Doreen naona yeye aliamua kwenda kuchuma Mali.
Eti mtoto wa malehemu anajajiwa kupewa urithi!,huku mbwa aliyejipachika ndani ya siku 150 tu eti ndo ana uhalali wa kurithi.
77-38=39.
39-38=1
38+38=76
Mh!,ilitakiwa huyo b mdogo achunguzwe kuhusiana na kifo Cha malehemu.
Ila malehemu nae alitakiwa aulizwe ilikuwaje yaani dar.
Wazee WA HOVYO HOVYO.
 
Sheria ya zamani ilikuwa inamkataa mtoto wa nje ya ndoa.

Ila sheria ya mirathi inayotumika siku hizi inamkubali mtoto wa nje ya ndoa na urithi anapata
mi sijali sheria inasemaje kuhusu kurithi mali kwa mtoto wangu wa nje ni lazima naye apate mgao sawa na watoto wa mke anayedaiwa ni wa ndoa. Watoto ni watoto tu hata wazaliwe na mama kumi mbalimbali kwa baba mmoja, hata wa wa michepuko nao wapate urithi wa baba yao
 


Utamaduni wa kugawana mabati unaleta umasikini sana kwa taifa letu. Badala ya biashara, majengo au hata uwekezaji kuendelea unaishia kugaiwa kwa watu tofauti na kubaki familia bila kitu cha maana. Mimi binafsi sioni kama utamaduni wa kugawa vitu ni mzuri. Badala yake vitu vingetakiwa kuendelezwa kama vilivyo na kugawana faida tu ili vitu vifike kizazi kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…