Mjane wa Augustino Mrema ajumuishwa kwenye mirathi

kwani alizidiwa sana kiasi cha kushindwa kwenda msalani peke yake mpaka asaidiwe kama mtoto mchanga, ile pisi kali aliyoia ni ya kumfuta akijinyea? Zile pesa za alizopata wakati anatongozwa aolewe zilimtosha
Ndo hivyo anastahili na sheria ipo wazi. Watu kama nyie ndo huwanyang'anya mali wajane wakifiwa na waume zao.

Baba wadogo tafuteni mali zenu. Za kaka yenu ni za watoto wake na mke wake halali aliyefunga nae ndoa.
 
Kiislam sheria ya wosia pia inakataza kugawa mali nusu yake kwa wasio warithi wako katika usia. Yaani uandike usia useme ukifa mali zako zote apewe mtu fulani wakati warithi wako (wanao) hawapati kitu au unawapunja haikubaliki.
 
katika uislam,wasia hautakiwi kuzidi 1/3 (thuluthi) ya Mali yote!
 
Na ikiwa vipimo vya DNA ikaonyesha watoto waliopatikana ndani ya ndoa sio watoto wa Mrema biologicaly ?. Utashaurije ??
 
Ni sahihi, hata akifa siku moja baada ya harusi yule mke ana haki za mumewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…