Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
reginald_mengis_w6167ea77ed37b.jpg
Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Nchini, marehemu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi.

Ameshinda pingamizi hilo baada ya Mahakama kukataa hoja zote saba za pingamizi la wasimamizi wa mirathi.

Hii ni mara ya pili kwa mjane huyo kushinda pingamizi kutoka kwa wasimamizi wa mirathi hiyo wanaopinga kusikilizwa maombi yake ya mapitio.

Jacqueline na wanawe, Jaden Mengi ambaye ni mwombaji wa pili na Ryan Mengi (mwombaji wa tatu), wamefungua maombi ya mapitio katika Mahakamaya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu iliyobatilisha wosia wa marehemu Mengi.

Hata hivyo, wasimamizi wa mirathi hiyo, Abdiel Mengi (mtoto wa marehemu Mengi wa mke wa kwanza na Benjamin Abrahamu Mengi, ndugu wa marehemu Mlengi), wanazuia rufaa yake hiyo isisikilizwe na yatupiliwe mbali.

Awali, baada ya Jacqueline kufungua maombi ya mapitio Mahakama ya Rufani dhidi ya hukumu ya Mahakama Kuu, wasimamizi hao walimwekea pingamizi wakiiomba iyatupilie mbali mapitio kwa madai yalikuwa yamewasilishwa isivyo halali.

Wasimamizi walidai kuwa, waombaji walipaswa kukata rufaa na sio kuwasilisha maombi ya mapitio waliyodai yalikuwa na upungufu wa kisheria kwa kutoambatanishwa nyaraka muhimu.

Mahakama ya Rufani katika uamuzi wake ilitupilia mbali hoja za pingamizi la kina Abdiel, badala yake ikakubaliana na hoja za Jacqueline zilizotolewa na wakili wake, Audax Kahendaguza na ikakubali kumsikiliza katika maombi yake hayo ya mapitio.

Kutokana na uamuzi huo, kina Abdiel wakawasilisha maombi ya marejeo wakiiomba Mahakama irejee na kubadilisha uamuzi wake wa kutupilia pingamizi lao dhidi ya maombi ya mapitio ya Jacqueline na wanaye. Katika maombi hayo, kina Abdiel walidai kuwa uamuzi wa Mahakama hiyo haukuzingatia misingi ya kisheria.

Wakati wa usikilizwaji wa maombi hayo, wakili wa Jacqueline, Kahendaguza na wakili wa wajibu maombi wengine, waliotajwa kwenye wosia huo, walipinga hoja za kina Abdiel.

Mahakama ya Rufani juzi, ilikataa hoja zote za maombi ya marejeo ya kina Abdiel.

Mahakama hiyo itasikiliza ya Jacqueline na wanaye kwa tarehe itakayopangwa na Msajili wa Mahakama hiyo, ambayo ndiyo itatoa hatima ya uhalali wa wosia huo na uhalali maomb ya mapi twa Abdiel na Benjamin kuwa wasi mamizi wa mirathi.

Chanzo: Mwananchi
 
Mali haziwezi kwenda Rwanda, tuache udangaji
 
Kesi za wajane na yatima na hasa zinazohusu mirathi kaa nazo mbali ni mwiba. Ukoo wa Mengi ungekaa na Jaki wakayamaliza kifamilia ila kukomaa mahakamani hakutakuwa na tija kwa upande wao. Huyu mama amepata muda mrefu wa kujipanga kwa hiyo sasa hivi amekamilika.
 
Kwani wakati anamuua Machache alikuwa hajajipanga?
 
Kesi za wajane na yatima na hasa zinazohusu mirathi kaa nazo mbali ni mwiba. Ukoo wa Mengi ungekaa na Jaki wakayamaliza kifamilia ila kukomaa mahakamani hakutakuwa na tija kwa upande wao. Huyu mama amepata muda mrefu wa kujipanga kwa hiyo sasa hivi amekamilika.
Mbekenga una hekima sana. Isitoshe haikuwa kitu rahisi Jack kuvua chupi kumpa uchi wake mzuri hivyo Mzee Mengi na kumdhalia watoto wawili bila kupata urithi. Hata Mungu humpa ampendezaye, Mzee Mengi alipata na kuufaidi uchi wa Jack vilivyo na alipendezwa nao, muache afaidi
 
Baba yenu kaacha mali nyingi sana.
Kwanini msikae na mama yenu mdogo vizuri mmagawana?
mzee wenu alishafanya makosa mkubwa hakosei.
Hao Kaka zenu wadogo ni ndugu zenu wa damu kaeni nao vizuri.
Haya masuala ya kugombea mali mtuachie sisi masikini nyumba moja watoto 7 bado wengine wa nje.
Kiukweli sioni Sababu ya nyie kugombana kisa mali maana zipo za kutosha
 
Back
Top Bottom