Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

Mbekenga una hekima sana. Isitoshe haikuwa kitu rahisi Jack kuvua chupi kumpa uchi wake mzuri hivyo Mzee Mengi na kumdhalia watoto wawili bila kupata urithi. Hata Mungu humpa ampendezaye, Mzee Mengi alipata na kuufaidi uchi wa Jack vilivyo na alipendezwa nao, muache afaidi
Umejuaje uchi wa jack ni mzuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi za wajane na yatima na hasa zinazohusu mirathi kaa nazo mbali ni mwiba. Ukoo wa Mengi ungekaa na Jaki wakayamaliza kifamilia ila kukomaa mahakamani hakutakuwa na tija kwa upande wao. Huyu mama amepata muda mrefu wa kujipanga kwa hiyo sasa hivi amekamilika.
Ina maana ukoo wa mengi hayupo mchawi wa familia akayamaliza ili kuzuia Mali isiende kwa watutsi
 
Mbekenga una hekima sana. Isitoshe haikuwa kitu rahisi Jack kuvua chupi kumpa uchi wake mzuri hivyo Mzee Mengi na kumdhalia watoto wawili bila kupata urithi. Hata Mungu humpa ampendezaye, Mzee Mengi alipata na kuufaidi uchi wa Jack vilivyo na alipendezwa nao, muache afaidi
Una uhakika alfaidi?

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Nchini, marehemu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi.

Ameshinda pingamizi hilo baada ya Mahakama kukataa hoja zote saba za pingamizi la wasimamizi wa mirathi.

Hii ni mara ya pili kwa mjane huyo kushinda pingamizi kutoka kwa wasimamizi wa mirathi hiyo wanaopinga kusikilizwa maombi yake ya mapitio.

Jacqueline na wanawe, Jaden Mengi ambaye ni mwombaji wa pili na Ryan Mengi (mwombaji wa tatu), wamefungua maombi ya mapitio katika Mahakamaya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu iliyobatilisha wosia wa marehemu Mengi.

Hata hivyo, wasimamizi wa mirathi hiyo, Abdiel Mengi (mtoto wa marehemu Mengi wa mke wa kwanza na Benjamin Abrahamu Mengi, ndugu wa marehemu Mlengi), wanazuia rufaa yake hiyo isisikilizwe na yatupiliwe mbali.

Awali, baada ya Jacqueline kufungua maombi ya mapitio Mahakama ya Rufani dhidi ya hukumu ya Mahakama Kuu, wasimamizi hao walimwekea pingamizi wakiiomba iyatupilie mbali mapitio kwa madai yalikuwa yamewasilishwa isivyo halali.

Wasimamizi walidai kuwa, waombaji walipaswa kukata rufaa na sio kuwasilisha maombi ya mapitio waliyodai yalikuwa na upungufu wa kisheria kwa kutoambatanishwa nyaraka muhimu.

Mahakama ya Rufani katika uamuzi wake ilitupilia mbali hoja za pingamizi la kina Abdiel, badala yake ikakubaliana na hoja za Jacqueline zilizotolewa na wakili wake, Audax Kahendaguza na ikakubali kumsikiliza katika maombi yake hayo ya mapitio.

Kutokana na uamuzi huo, kina Abdiel wakawasilisha maombi ya marejeo wakiiomba Mahakama irejee na kubadilisha uamuzi wake wa kutupilia pingamizi lao dhidi ya maombi ya mapitio ya Jacqueline na wanaye. Katika maombi hayo, kina Abdiel walidai kuwa uamuzi wa Mahakama hiyo haukuzingatia misingi ya kisheria.

Wakati wa usikilizwaji wa maombi hayo, wakili wa Jacqueline, Kahendaguza na wakili wa wajibu maombi wengine, waliotajwa kwenye wosia huo, walipinga hoja za kina Abdiel.

Mahakama ya Rufani juzi, ilikataa hoja zote za maombi ya marejeo ya kina Abdiel.

Mahakama hiyo itasikiliza ya Jacqueline na wanaye kwa tarehe itakayopangwa na Msajili wa Mahakama hiyo, ambayo ndiyo itatoa hatima ya uhalali wa wosia huo na uhalali maomb ya mapi twa Abdiel na Benjamin kuwa wasi mamizi wa mirathi.

Chanzo: Mwananchi
Kahendaguza!
Isijekuwa kesi ya ngedere imepelekwa kwa nyani.
 
Mambo ya mali haya...mwenye nazo kashakuwa mifupa tu sasa
 
Baba yenu kaacha mali nyingi sana.
Kwanini msikae na mama yenu mdogo vizuri mmagawana?
mzee wenu alishafanya makosa mkubwa hakosei.
Hao Kaka zenu wadogo ni ndugu zenu wa damu kaeni nao vizuri.
Haya masuala ya kugombea mali mtuachie sisi masikini nyumba moja watoto 7 bado wengine wa nje.
Kiukweli sioni Sababu ya nyie kugombana kisa mali maana zipo za kutosha
Hawa watoto watoto wataishia kuwatajirisha wanasheria, anger clouds the mind believe that.
 
Mbekenga una hekima sana. Isitoshe haikuwa kitu rahisi Jack kuvua chupi kumpa uchi wake mzuri hivyo Mzee Mengi na kumdhalia watoto wawili bila kupata urithi. Hata Mungu humpa ampendezaye, Mzee Mengi alipata na kuufaidi uchi wa Jack vilivyo na alipendezwa nao, muache afaidi
watoto wa plastiki wale hawakuchakatana ni test tube babies
 
Mengi si mjinga kufanya hayo...
Alitaka kizazi chake kiendelee..

Hao wakubwa wote hamna kitu mule...

Hizo Mali zote watagawa tu hawawezi kutengeza familia..

Na 50% ..walishapewa ya mama yao..sasa mzee kaamua 50% yake iliyobaki awape watoto wake wengine wawili ambao hawakupata mgao wa kwanza!

Bado na hiyo wanaitaka.. ..

Wakae na bi dada wayamalize...
 
Ukiona hivyo, lazima kuna mahali kosa lilifanyika.

Nimeikumbuka NBC iliyouzwa kwa Makaburu baada ya kuvunjwa na kuanzishwa NMB. BAD DEBTS zilizofutwa kwa wadaiwa, inakwenda kuwa BAD WEALTH kwa wanufaika.

YANAZUNGUMZIKA. WAKAE WAKUBALIANE. Vinginevyo, Mali zinavyopatikana ndivyo zinavyotoweka.
 
Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Nchini, marehemu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi.

Ameshinda pingamizi hilo baada ya Mahakama kukataa hoja zote saba za pingamizi la wasimamizi wa mirathi.

Hii ni mara ya pili kwa mjane huyo kushinda pingamizi kutoka kwa wasimamizi wa mirathi hiyo wanaopinga kusikilizwa maombi yake ya mapitio.

Jacqueline na wanawe, Jaden Mengi ambaye ni mwombaji wa pili na Ryan Mengi (mwombaji wa tatu), wamefungua maombi ya mapitio katika Mahakamaya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu iliyobatilisha wosia wa marehemu Mengi.

Hata hivyo, wasimamizi wa mirathi hiyo, Abdiel Mengi (mtoto wa marehemu Mengi wa mke wa kwanza na Benjamin Abrahamu Mengi, ndugu wa marehemu Mlengi), wanazuia rufaa yake hiyo isisikilizwe na yatupiliwe mbali.

Awali, baada ya Jacqueline kufungua maombi ya mapitio Mahakama ya Rufani dhidi ya hukumu ya Mahakama Kuu, wasimamizi hao walimwekea pingamizi wakiiomba iyatupilie mbali mapitio kwa madai yalikuwa yamewasilishwa isivyo halali.

Wasimamizi walidai kuwa, waombaji walipaswa kukata rufaa na sio kuwasilisha maombi ya mapitio waliyodai yalikuwa na upungufu wa kisheria kwa kutoambatanishwa nyaraka muhimu.

Mahakama ya Rufani katika uamuzi wake ilitupilia mbali hoja za pingamizi la kina Abdiel, badala yake ikakubaliana na hoja za Jacqueline zilizotolewa na wakili wake, Audax Kahendaguza na ikakubali kumsikiliza katika maombi yake hayo ya mapitio.

Kutokana na uamuzi huo, kina Abdiel wakawasilisha maombi ya marejeo wakiiomba Mahakama irejee na kubadilisha uamuzi wake wa kutupilia pingamizi lao dhidi ya maombi ya mapitio ya Jacqueline na wanaye. Katika maombi hayo, kina Abdiel walidai kuwa uamuzi wa Mahakama hiyo haukuzingatia misingi ya kisheria.

Wakati wa usikilizwaji wa maombi hayo, wakili wa Jacqueline, Kahendaguza na wakili wa wajibu maombi wengine, waliotajwa kwenye wosia huo, walipinga hoja za kina Abdiel.

Mahakama ya Rufani juzi, ilikataa hoja zote za maombi ya marejeo ya kina Abdiel.

Mahakama hiyo itasikiliza ya Jacqueline na wanaye kwa tarehe itakayopangwa na Msajili wa Mahakama hiyo, ambayo ndiyo itatoa hatima ya uhalali wa wosia huo na uhalali maomb ya mapi twa Abdiel na Benjamin kuwa wasi mamizi wa mirathi.

Chanzo: Mwananchi
kama abdieli umo humu chukua hii;

Hivi huyo malaya alosababisha mama yenu aachike kwa mumewe na bado anataka kuwaporeni mali ambazo mama yenu na baba yenu alizichuma, kwanini mnaendelea kumuacha hai?

Hivi ninyi ni wachaga gani wa kupelekeshwa mbele ya mali na chasaka wa kike?

Huyo malaya wa kike muondosheni duniani, hana tofauti na wezi wanaopigwa risasi na kuchomwa moto. Hilo ni dangaji jizi hilo, fala sana hilo.
 
Mengi si mjinga kufanya hayo...
Alitaka kizazi chake kiendelee..

Hao wakubwa wote hamna kitu mule...

Hizo Mali zote watagawa tu hawawezi kutengeza familia..

Na 50% ..walishapewa ya mama yao..sasa mzee kaamua 50% yake iliyobaki awape watoto wake wengine wawili ambao hawakupata mgao wa kwanza!

Bado na hiyo wanaitaka.. ..

Wakae na bi dada wayamalize...
Hili swala nilisema kwamba mengi wale wanae walienda Kwa mama yao na walikuwa wanakula zile 50% walizogawana na pamoja na pesa zile wanazolipwa kila mwezi kama walivyokubalina baada ya kuachana

Jamaa wakaja hapa wachaga ooh abdiel alikuwa anaenda kuwasalimia ila hayo matoto kiukweli walimtenga Mzee wao walikuwa wnasimamia miradi tu na kula pesa
 
kama abdieli umo humu chukua hii;

Hivi huyo malaya alosababisha mama yenu aachike kwa mumewe na bado anataka kuwaporeni mali ambazo mama yenu na baba yenu alizichuma, kwanini mnaendelea kumuacha hai?

Hivi ninyi ni wachaga gani wa kupelekeshwa mbele ya mali na chasaka wa kike?

Huyo malaya wa kike muondosheni duniani, hana tofauti na wezi wanaopigwa risasi na kuchomwa moto. Hilo ni dangaji jizi hilo, fala sana hilo.
Hawatomuweza huyo jack ni smart kushinda Koo zote za uchagani hao machalii wa Mzee wamegubi kitu kama hujui na hawajielewi jack ni mjanja hao madogo wamekosea timing Sana kukaa mbali na Mzee wao

Kingine hao wanaleta ubaguzi ndo ushamba mkubwa mama yao alishachukua 50% mapema Hana chake wakitaka za mzee hapo lazima wagawane na jack na wale pacha wake wa mchongo
 
Kesi za wajane na yatima na hasa zinazohusu mirathi kaa nazo mbali ni mwiba. Ukoo wa Mengi ungekaa na Jaki wakayamaliza kifamilia ila kukomaa mahakamani hakutakuwa na tija kwa upande wao. Huyu mama amepata muda mrefu wa kujipanga kwa hiyo sasa hivi amekamilika.
jasusi mbobezi Paulo k.hawezi kuacha kumpa sapoti mrwanda mwenzie,na kesi ikiisha anasepa Rwanda kuwekeza !!
 
Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Nchini, marehemu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi.

Ameshinda pingamizi hilo baada ya Mahakama kukataa hoja zote saba za pingamizi la wasimamizi wa mirathi.

Hii ni mara ya pili kwa mjane huyo kushinda pingamizi kutoka kwa wasimamizi wa mirathi hiyo wanaopinga kusikilizwa maombi yake ya mapitio.

Jacqueline na wanawe, Jaden Mengi ambaye ni mwombaji wa pili na Ryan Mengi (mwombaji wa tatu), wamefungua maombi ya mapitio katika Mahakamaya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu iliyobatilisha wosia wa marehemu Mengi.

Hata hivyo, wasimamizi wa mirathi hiyo, Abdiel Mengi (mtoto wa marehemu Mengi wa mke wa kwanza na Benjamin Abrahamu Mengi, ndugu wa marehemu Mlengi), wanazuia rufaa yake hiyo isisikilizwe na yatupiliwe mbali.

Awali, baada ya Jacqueline kufungua maombi ya mapitio Mahakama ya Rufani dhidi ya hukumu ya Mahakama Kuu, wasimamizi hao walimwekea pingamizi wakiiomba iyatupilie mbali mapitio kwa madai yalikuwa yamewasilishwa isivyo halali.

Wasimamizi walidai kuwa, waombaji walipaswa kukata rufaa na sio kuwasilisha maombi ya mapitio waliyodai yalikuwa na upungufu wa kisheria kwa kutoambatanishwa nyaraka muhimu.

Mahakama ya Rufani katika uamuzi wake ilitupilia mbali hoja za pingamizi la kina Abdiel, badala yake ikakubaliana na hoja za Jacqueline zilizotolewa na wakili wake, Audax Kahendaguza na ikakubali kumsikiliza katika maombi yake hayo ya mapitio.

Kutokana na uamuzi huo, kina Abdiel wakawasilisha maombi ya marejeo wakiiomba Mahakama irejee na kubadilisha uamuzi wake wa kutupilia pingamizi lao dhidi ya maombi ya mapitio ya Jacqueline na wanaye. Katika maombi hayo, kina Abdiel walidai kuwa uamuzi wa Mahakama hiyo haukuzingatia misingi ya kisheria.

Wakati wa usikilizwaji wa maombi hayo, wakili wa Jacqueline, Kahendaguza na wakili wa wajibu maombi wengine, waliotajwa kwenye wosia huo, walipinga hoja za kina Abdiel.

Mahakama ya Rufani juzi, ilikataa hoja zote za maombi ya marejeo ya kina Abdiel.

Mahakama hiyo itasikiliza ya Jacqueline na wanaye kwa tarehe itakayopangwa na Msajili wa Mahakama hiyo, ambayo ndiyo itatoa hatima ya uhalali wa wosia huo na uhalali maomb ya mapi twa Abdiel na Benjamin kuwa wasi mamizi wa mirathi.

Chanzo: Mwananchi
Kumbe pingamizi!!! Nilidhani kashinda kuwa yeye ndiye mrithi na watoto wa mengi hawana chao kama mirathi ya mwanzo ilivyosema.
 
Back
Top Bottom