Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Ile ya captain Maverick.Mkuu nikuulize kitu hivi hiyo movie ya Top gun inahusu nini niliona trela lake naona movie mbaya kwani tom cruise kafanya maajabu gani humo
Huyu Elvis hakuwa punga?Alimuoa kabisa Lisamarie Presley
Tatizo la wazungu mashine baridi sanaAlimuoa kabisa Lisamarie Presley
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahYani yule akinipa nitapiga Kama ndio nakula bikra wallah sitajali wamepiga wangapi
Thubutu! Atakuwa kapigwa visu vya kutosha tu.Yuko vizuri hata plastic surgery hana naona
Tunaisubiri movie mpya ya Elvis
Jamani ana plastic surgery lukuki nafikiri hujamfatlia.Yuko vizuri hata plastic surgery hana naona
Tunaisubiri movie mpya ya Elvis
Nimekuelewa,ndo maana sisi wafanyakazi wa wahindi vichwa huwa vinapata moto!Wakati niko Century Cinemax natazama Top Gun: Maverick iliyotoka jana nikaona trailer muigizaji anafanana na Elvis Presley, nikaona ana mdada anafanana na Marylin Monroe nikajua hii ni movie ya Elvis na wameiita hivyo. Yupo Tom Hanks pia.
Elvis Presley lifestyle yake mbaya ilichangiwa na corporate greedy. Alikuwa anapewa ratiba ngumu na tours ambazo bila drugs hutoboi. The same na hawa kina Michael Jackson, pressure ya matokeo iliwatuma kufanya mengi. Wasanii wanapewa objectives ambazo ni ngumu kuzitimiza haziko realistic kivile
Kuzeeka ni udhaifu sio?Jizee hata msemeje halina mvuto tena eti kijana wapi nyie
Sura ishakuwa na makunyazi huko chini ndo kumetepeta kabisa
Jamani ana plastic surgery lukuki nafikiri hujamfatlia.
Thubutu! Atakuwa kapigwa visu vya kutosha tu.