Mjane wa Elvis Presley, Pricilla Peesley mwenye miaka 77

Mjane wa Elvis Presley, Pricilla Peesley mwenye miaka 77

Mkuu nikuulize kitu hivi hiyo movie ya Top gun inahusu nini niliona trela lake naona movie mbaya kwani tom cruise kafanya maajabu gani humo
Ile ya captain Maverick.

Sana sana ianhusiana na fighter jet manuevering and missions
 
Wakati niko Century Cinemax natazama Top Gun: Maverick iliyotoka jana nikaona trailer muigizaji anafanana na Elvis Presley, nikaona ana mdada anafanana na Marylin Monroe nikajua hii ni movie ya Elvis na wameiita hivyo. Yupo Tom Hanks pia.

Elvis Presley lifestyle yake mbaya ilichangiwa na corporate greedy. Alikuwa anapewa ratiba ngumu na tours ambazo bila drugs hutoboi. The same na hawa kina Michael Jackson, pressure ya matokeo iliwatuma kufanya mengi. Wasanii wanapewa objectives ambazo ni ngumu kuzitimiza haziko realistic kivile
Nimekuelewa,ndo maana sisi wafanyakazi wa wahindi vichwa huwa vinapata moto!
 
Back
Top Bottom