Amekua mchele jamani mpk apepetwe?Huyo mama amemuuguza au amempepeta na kumwua? Naomba jibu.
Hili ni fumbo la imaniWanazuwia mali za mjane lakini hawaja mzuwia Mrema kuoa wakati wa uhai wake. Ama kweli tukifa wajane na watoto wetu wanapitia wakati mgumu sana.
Sasa mkuu unaweza vipi kumzuia dingi yako kuoa?
Marehemu wa kwenu ndio mali zao hazikai, Wachaga zinakaaSasa hao nao wanadhani hizo mali zitawafikisha wapi? Maana mali za marehemu huwa hazikai labd kama aliwashirikisha kuzitunza na kuziendeleza toka mwanzo.
Nyie ni makatili, yaani huyo bibi mliamua kumfanya mtunzaji wa mji kwa maish yake yote bila malipokisheria vipi kaka, yaani uolewe wiki 4, afu unataka ukombe haki za Marehemu alizochuma miaka yote ya uhai wake - kisa tu umemwogesha na kumtunza akiwa mgonjwa...hilo hapana.
Babu yangu Mzaa mama alifiwa na bibi yetu (mkewe); sisi wajukuu nikiwemo na mimi nilitaka Babu yetu aoe ili apete wa kumtunza...tulipewa kazi ya kumtafutia mchumba - cha ajabu kila tunayemleta home anasema ana jicho kubwa, kichogo krefu, mfupi - yaani tukachemka kumbe anasongesha muda mbele - hakutaka.
Alivyochoka sana alikuja mama mmoja kuishi naye kwa hiari ili amtunze ila Babu alimwambia kabisa akifa atapewa kitanda na mshuka tu, vingine vyote mali ya watoto, yule bibi akakubali - Baada ya miezi kadhaa babu akafariki dunia.
Siku ya kikao cha familia yule mama akasema hivyo hivyo alivyoambiwa na Babu, Balaza la familia kwa kuheshimu maneno ya Marehemu ambayo hayakuandikwa popote wakamzawadia nyumba hiyo hiyo na mashamba... akawa bibi yetu. (ila condition hawezi kuitoa urithi ama kuiuza)
So wajane jishusheni, utakachopewa na familia ndicho hicho hicho, usianzishe ligi kwenye mali za wenyewe !! Mke huwa ni mke wa Kwanza tu wengine wanaofuata ni vimada tu.
Kwa taarifa yako watoto tangu wanapoanza kujitambua hadi wanapokuwa watu wazima wanashiriki kwenye uchumi wa familia kwa asilimia zote. Hata kufagia nyumba baba anapokuwapo kazini, kutumwa mahali, na kazi nyinginezo ni sehemu ya uchumi wa familia. Ni ushiriki huu unawafanya wawe warithi halali kabisa wa mali za wazazi wao.Hi ya kung'ang'ania vitu vya urithi hususan Kwa watoto wa Marehemu ni umasikini ama ni ulimbukeni? Baba yako katafuta Mali yake mwenyewe na sio karithi Kwa Baba yake. Wewe kwanini usitafate vyakwako?? Labda kama kaacha watoto wadogo wanaosoma au walikuwa bado tegemezi kwake.
Ni kweli mkuu hatarithi pale ambapo watoto wataweka pingamizi kwa kutoa hoja kwamba mali hizo zilichumwa na mama yao na baba yao before bi mdogo kuolewa.Endelea kukariri
Mali ni ya baba yao na mama yao mzazi hata isipowafikisha popote hiyo ni habari nyingine kikubwa ni ni haki yao kurithi.Sasa hao nao wanadhani hizo mali zitawafikisha wapi? Maana mali za marehemu huwa hazikai labd kama aliwashirikisha kuzitunza na kuziendeleza toka mwanzo.
na ukidum miezi miwili upewe sahani na kijiko[emoji23]Ni ujambazi wa mali za watoto wa marehemu. Sheria inabidi iseme miaka mingapi ya ndoa ndo una haki ya kupewa mali za marehemu. Wakristo wana jubilei za miaka 25 50 75 na 100[emoji2]na kwenye sheria waseme basi ukidumu miaka hiyo na mwenza mali zote zinakua zako maana umeshiriki kuzitafuta.. na ukidum miezi miwili upewe sahani na kijiko
Kupoa keshapoa labda useme kuanza kuozaHawa wazee wanaoa kwa sababu za kuhitaji upendo wa familia katika umri mkubwa wanaokuwa nao ukijumlisha na changamoto za kiafya wanazokuwa nazo.
Watoto wanakuwa wako bize na familia zao na majukumu yao. Na hawa wadada hawajawashikia bunduki wazee wetu wawaoe. Wazee wanawaoa kwa hiyari yao na kwa mapenzi yao. Mzee akifa ndio watoto wale wale waliomwacha mzee lonely wanakuwa bize kumwona muolewaji kama ana makosa kuolewa na mzee wao.
Mimi nadhani la busara hapa ni kukaa na kumaliza msiba na kuona yule mama wanaachanaje naye kuendana na muda alioishi na mzee wao. Maana kisheria mke ni mmojawapo wa warithi wa mume. Japo kwa kesi hii busara ikitumika anapewa kiasi anachostahili. Hawa wameanza vishindo mapema sana hata mzee wao hajapoa kaburini.
Sheria ipi inampatia haki mshana?? Sheria inaangalia mazingira ya hiyo haki pia. Yani mali achume mke na mume na huyo mke ana watoto ameacha halafu mke aliyeolewa miez 5 iliyopita mahakama impe haki 100% kama watoto watapinga yeye kurithi??Kupoa keshapoa labda useme kuanza kuoza
Kisheria mama ana haki lakini kiubinadamu ...
Lakini alimkuta mzee ana kila kituSheria itachukua mkondo wake maana walifunga ndoa halali.
Hapo sio kushiriki katika kujenga uchumi wa familia, ni kutimiza majukumu kama Watoto, ndio mana wanalishwa, wananunuliwa nguo na kusomeshwa...ni Watoto.Kwa taarifa yako watoto tangu wanapoanza kujitambua hadi wanapokuwa watu wazima wanashiriki kwenye uchumi wa familia kwa asilimia zote. Hata kufagia nyumba baba anapokuwapo kazini, kutumwa mahali, na kazi nyinginezo ni sehemu ya uchumi wa familia. Ni ushiriki huu unawafanya wawe warithi halali kabisa wa mali za wazazi wao.
Alisema hakufuata pesa; kwani anadai sehemu ya mali za marehemu?Nawapongeza Watoto wa Marehemu kwani kwa jinsi Baba yao alivyokuwa akiumwa ni wazi kabisa kuwa huyu Mama alijiweka kwa Marehemu akiwa amelenga Mali na Urithi tu na kamwe siyo Upendo na Mapenzi.
Hata hivyo Kibinadamu (siyo kwa nia mbaya) nawaomba Watoto wa Marehemu wakishamaliza Kugawa / Kugawana Mali za Marehemu Baba yao waangalie kitu Kimoja tu cha kumpa huyu Mama na Wasimtose mazima ili Kutomuudhi Marehemu Mzee Wao ambaye alimpenda sana huyu Mama na ndiye aliyemuuguza muda Wote hadi Umauti ulipomkuta.
Siyo udaku. Ulimwengu wa sasa ni wa Tehama. Ni juu yako kuchuja vya kumeza na kutema.Raia Mwema limekuwa Gazeti la Udaku? Mbona Kuna Mambo Mengi Muhimu sana ya Kuandika, na Sio Udaku wa Mke wa Mrema???
Ha ha ha! Eti mbususu, ... Utelezi !Mahakama sasa nayo ifanye mabadiliko ya vifungu vya sheria ya ndoa hawa madada wa mjini wamekua majambazi wa mali za watoto wa marehemu kwa kigezo cha ndoa. Wanatake advantage ya ndoa kupata mali wasizo stahili na kuleta mifarakano kwenye familia za watu kisa wame issue mbususu.
Yan huyu kumpa utelezi mzee kwa miezi miwili mitatu leo anataka mali?? Kaolewa March 24 mzee kafariki August21 madada mmezidi tamaa na uroho. Huu muda anechuma nini na mzee??
Pengine mzee asingeoa angekua hai, dada etu alikua amesha bet mkeka wake anasubiri utiki tuu. Mi nasimama na watoto wa mrema walio simama na baba yako tangu namfahamu anashindana na Mkapa urais 95
Heka heka zote kapambana nchi nzima tukamjua hao watoto na marehem mke wake walikua nae kwenye shida na raha kweli, sio huyo dada alie tumia mbususu yake kimitego. Utelezi wa siku mbili unataka mali? Dada Akapande maua yake huko machame aachane na majasho ya watu watamtoa damu.
View attachment 2337900
View attachment 2337901
Kwani wewe baba unapokuwa kazini mtoto analeta maji, analeta kitunguu ili upikiwe ukirudi kazini unakula unavimbiwa unalala hapo anafanyaje?? Kwani kinachofanya hata mwanamke jobless apewe mgao ni nini? Ni hayo hayo kwamba nae kuna majukum anatimiza.Hapo sio kushiriki katika kujenga uchumi wa familia, ni kutimiza majukumu kama Watoto, ndio mana wanalishwa, wananunuliwa nguo na kusomeshwa...ni Watoto.
Kisheria Mke bila kujali ana kazi au hana ndio anachangia ukuaji wa uchumi wa familia, hata kama hajanunua hata kitasa cha mlango...na anapaswa kurithi mali za Mumewe kama walifunga ndoa.
Kwa sasa ni kama tunafanya ramli tuu maana wosia wenyewe hakuna ajuaye mpaka sasa.. Labda tutakapouona ndio tunaweza kuwa na mjadala mzuriSheria ipi inampatia haki mshana?? Sheria inaangalia mazingira ya hiyo haki pia. Yani mali achume mke na mume na huyo mke ana watoto ameacha halafu mke aliyeolewa miez 5 iliyopita mahakama impe haki 100% kama watoto watapinga yeye kurithi??
Labda watoto waridhie wenyewe. Ila wakipinga asee mama dorini atapewa kitanda na mashuka