Najaribu kui picture scenario ambapo mke anafariki halafu mume bila kukawia anamuoa shoga-besti wa marehemu... lazima kina mama waje juu!
Ni mapokeo ya mfumo dume ....
Ulishawahi kusikia mke kafa halafu kukawa na mgogoro wa mirathi? Hata kama bread winner wa familia alikuwa ni Mama, huwezi kusikia kuna kasheshe ya kugawana mali ama ndugu wa mke wakija kudai kwamba mali iliyopo ni jasho ya ndugu yao.
Nimeona kesi kubwa mbili...ilikua patashika!
Naomba kuuliza kitu......
Inakuwaje mnafikiria kuwa mwanaume tu ndio anaacha mali? au kwamba mwanaume akifa basi assumption ni kuwa mali iliyopo ilikuwa yake.Hamjui kuna wanawake wana mali zao?
I will get married in a week time mamsap akifa maana nimekuwa nikicheat all the time! hahahahah
akifa baba watoto itaniuma sana na nita mmiss.......lakini sitokaa sana, akitokea mume naolewa.
kwa sababu sitaki watoto wakae bila a father figure katika maisha yao.....
msema kweli kipenzi cha mungu, siwezi kulea watoto peke yangu ( na hapa simaanishi kuhusiana na fedha, uwezo wa kifedha nnao wa kutosha)

potea mbali crispin.......nitaolewa tena na tena na tena.....tatizo liko wapi, wakati bado mzima!
better that than kusema hujaolewa lakini ukawa mistress wa mtu. ......kuolewa bado kuna hadhi yake kwa watoto.
hahaha ...crispin kweli life expectancy ya watanzania ipo chini sana, lakini sidhani kaa nitafika miaka 60 nishazika waume watano!
wanaume mpende nyie tu kuoa wake zenu wakifa.......lakini nyie mkifa wenzenu wasiolewe! mwee
potea mbali crispin.......nitaolewa tena na tena na tena.....tatizo liko wapi, wakati bado mzima!
better that than kusema hujaolewa lakini ukawa mistress wa mtu. ......kuolewa bado kuna hadhi yake kwa watoto.
crispin hizo enzi hizo..............siku hizi wajane wamepanda chati vibaya mno! hasa mjane mwenyewe akiwa na mapesa yake na status fulani hivi kwenye jamii.
akiwa mjane wa kijijini hana kitu na kaachiwa watoto tele, nakubali anaweza kusota sana japo kama angependa kuolewa (kwa kuwa jamii zetu za kiswahili bado watoto wetu wa kiume hatupendelei waoe wajane)
very sad kumkuta mtu ana miaka chini ya 35 ana watoto watatu mjane, kisha hakuna mtu wa kumuoa, wakati huo ndo umri wa kuanza ku-enjoy maisha kwa familia zenye mambo mazuri

nakuwa realistic tu......wanawake wengi wanafikiri kimtindo huo, lakini huwa hawasemi tu......