johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali.
Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si kuwafanya wanyonge wa kusubiria ajira katika utumishi wa umma.
Mjapan ameshangaa kuona UDSM kuna wanafunzi wengi sana wanaosoma kozi ya siasa na kuniuliza, hivi hawa wanaandaliwa kuwa nani?
Maendeleo hayana vyama!