johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unataka kusema Japan hawasomi Political Science?Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali.
Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si kuwafanya wanyonge wa kusubiria ajira katika utumishi wa umma.
Mjapan ameshangaa kuona UDSM kuna wanafunzi wengi sana wanaosoma kozi ya siasa na kuniuliza, hivi hawa wanaandaliwa kuwa nani?
Maendeleo hayana vyama!
Unaelewa maana ya " wanafunzi wengi " lakini?!Unataka kusema Japan hawasomi Political Science?
Itakuwa Japan ya Matombo labda.
Wewe utakuwa umesoma kozi za uhasibu.......utaajiriwa na wenye daladala uwe konda!Mjapan? Huyo Mjapan ni nani kwani? Mtu yoyote akiongea pumba kwa kuwa ni mjapan basi ni kuanzishia uzi?
Anyway ngoja tujadili hili, ukisema graduates wote wajiajiri tutakuwa na biashara/viwanda ndogo ndogo sana kama utitiri ambazo zitakuwa hazina ufanisi kutokana na economies of scale
Nchi zilizoendelea kama Japan hakuna utitiri kama huu, bali ni giant companies ambazo zinaajiri wahitimu wa vyuo, so huyu mjapan hata hajui uchumi
Unataka mhitimu wa chuo amalize chuo then akajiajiri kuuza vitumbua, sasa tutakuwa na uchumi gani? Elimu yake si imekuwa wasted hapo?
Huyu mjapan anaitwa nani?,na mwenge anafanya nini?Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali.
Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si kuwafanya wanyonge wa kusubiria ajira katika utumishi wa umma.
Mjapan ameshangaa kuona UDSM kuna wanafunzi wengi sana wanaosoma kozi ya siasa na kuniuliza, hivi hawa wanaandaliwa kuwa nani?
Maendeleo hayana vyama!
Anajenga barabara itakayobadilisha muonekano wa jiji la Dsm ya Mwenge - Morocco!Huyu mjapan anaitwa nani?,na mwenge anafanya nini?
Nakubaliana na ujumbe unotoa lakini acha uongo.Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali.
Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si kuwafanya wanyonge wa kusubiria ajira katika utumishi wa umma.
Mjapan ameshangaa kuona UDSM kuna wanafunzi wengi sana wanaosoma kozi ya siasa na kuniuliza, hivi hawa wanaandaliwa kuwa nani?
Maendeleo hayana vyama!
1. Mwanzisha thread hakusema kuwa Japan hawasomi Political Science.Unataka kusema Japan hawasomi Political Science?
Itakuwa Japan ya Matombo labda.
Vidogovidogo ndivo uzaa vikubwa,cocacola company ilianza na ndoo moja ya juice ya coca mfano wa deli la kuuzia askrimu,Mac Donald ilianza kama kijimghawa kidogoMjapan? Huyo Mjapan ni nani kwani? Mtu yoyote akiongea pumba kwa kuwa ni mjapan basi ni kuanzishia uzi?
Anyway ngoja tujadili hili, ukisema graduates wote wajiajiri tutakuwa na biashara/viwanda ndogo ndogo sana kama utitiri ambazo zitakuwa hazina ufanisi kutokana na economies of scale
Nchi zilizoendelea kama Japan hakuna utitiri kama huu, bali ni giant companies ambazo zinaajiri wahitimu wa vyuo, so huyu mjapan hata hajui uchumi
Unataka mhitimu wa chuo amalize chuo then akajiajiri kuuza vitumbua, sasa tutakuwa na uchumi gani? Elimu yake si imekuwa wasted hapo?
Asante kwa kulifafanua hiliNakubaliana na ujumbe unotoa lakini acha uongo.
Mjapani hata siku moja hutamkuta akiongea siasa za nchi husika, tena na wapita njia kama wewe barabarani.
Siye Wajapani tunawafahamu na ACHA UONGO.