Tusaidie details za huyo mjapani anazo degree 4?
Yeye ndie mmiliki wa hiyo kampuni aliyonayo au nae kaja bongo kuajiliwa?
Km kaajiliwa kwann asijiajili uko kwao nn kimemleta uku kwetu?
Uko nje reliMjapan? Huyo Mjapan ni nani kwani? Mtu yoyote akiongea pumba kwa kuwa ni mjapan basi ni kuanzishia uzi?
Anyway ngoja tujadili hili, ukisema graduates wote wajiajiri tutakuwa na biashara/viwanda ndogo ndogo sana kama utitiri ambazo zitakuwa hazina ufanisi kutokana na economies of scale
Nchi zilizoendelea kama Japan hakuna utitiri kama huu, bali ni giant companies ambazo zinaajiri wahitimu wa vyuo, so huyu mjapan hata hajui uchumi
Unataka mhitimu wa chuo amalize chuo then akajiajiri kuuza vitumbua, sasa tutakuwa na uchumi gani? Elimu yake si imekuwa wasted hapo?
Mjapan? Huyo Mjapan ni nani kwani? Mtu yoyote akiongea pumba kwa kuwa ni mjapan basi ni kuanzishia uzi?
Anyway ngoja tujadili hili, ukisema graduates wote wajiajiri tutakuwa na biashara/viwanda ndogo ndogo sana kama utitiri ambazo zitakuwa hazina ufanisi kutokana na economies of scale
Nchi zilizoendelea kama Japan hakuna utitiri kama huu, bali ni giant companies ambazo zinaajiri wahitimu wa vyuo, so huyu mjapan hata hajui uchumi
Unataka mhitimu wa chuo amalize chuo then akajiajiri kuuza vitumbua, sasa tutakuwa na uchumi gani? Elimu yake si imekuwa wasted hapo?
Msome between the lines. It's very obvious.1. Mwanzisha thread hakusema kuwa Japan hawasomi Political Science.
2. Amesema huyo ''mjapani'' kashangaa kuona vijana wengi sana hapa kwetu wanasoma Political Science.
3. Soma uelewe kabla ya kuchangia.
Unaijua idadi yao kwa UD peke yake?Unaelewa maana ya " wanafunzi wengi " lakini?!
Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali.
Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si kuwafanya wanyonge wa kusubiria ajira katika utumishi wa umma.
Mjapan ameshangaa kuona UDSM kuna wanafunzi wengi sana wanaosoma kozi ya siasa na kuniuliza, hivi hawa wanaandaliwa kuwa nani?
Maendeleo hayana vyama!
mi nimeajiri mkuu, tujadili hoja sio tujijadili, maana hatujuani kabisaWewe utakuwa umesoma kozi za uhasibu.......utaajiriwa na wenye daladala uwe konda!
Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali.
Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si kuwafanya wanyonge wa kusubiria ajira katika utumishi wa umma.
Mjapan ameshangaa kuona UDSM kuna wanafunzi wengi sana wanaosoma kozi ya siasa na kuniuliza, hivi hawa wanaandaliwa kuwa nani?
Maendeleo hayana vyama!
Unataka kusema Japan hawasomi Political Science?
Itakuwa Japan ya Matombo labda.
Ni kweli, lakini pia ujasiriamali ni passion na kipaji pia, so asilimia chache sana ya wahitimu wanaweza kujiajiri na kukuza makampuni makubwa kutoka chini kabisa, so kutegemea kila grauduate ajiajiri na afanikiwe kiasi hicho ni kuwa unfairVidogovidogo ndivo uzaa vikubwa,cocacola company ilianza na ndoo moja ya juice ya coca mfano wa deli la kuuzia askrimu,Mac Donald ilianza kama kijimghawa kidogo
kivipi?Uko nje reli
Kuliko endelea wahitimu wanaenda kuanzisha vibiashara vidogo vidogo halafu ndio unakuwa solution ya tatizo la ajira?Rigidity uliyoionesha katika paragraph yako ya mwisho ni typical ya rigidities za kifikira zinazotukwamisha: kwamba unachosomea ndicho utakachofanya baada ya kuhitimu.
Huko kulikoendelea hakuna rigidities za aina hii. Kama unaweza kufanya biashara ya vitumbua at a commercially viable scale, do it with passion, regardless of your academic major!
Siyo kweli, wewe utakuwa unaangalia zile kampuni za kimataifa kama Sony na Toyota. Makampuni mengi Japani ni kampuni ndogo ndogo kama ilivyo Ujerumani pia.Mjapan? Huyo Mjapan ni nani kwani? Mtu yoyote akiongea pumba kwa kuwa ni mjapan basi ni kuanzishia uzi?
Anyway ngoja tujadili hili, ukisema graduates wote wajiajiri tutakuwa na biashara/viwanda ndogo ndogo sana kama utitiri ambazo zitakuwa hazina ufanisi kutokana na economies of scale
Nchi zilizoendelea kama Japan hakuna utitiri kama huu, bali ni giant companies ambazo zinaajiri wahitimu wa vyuo, so huyu mjapan hata hajui uchumi
Unataka mhitimu wa chuo amalize chuo then akajiajiri kuuza vitumbua, sasa tutakuwa na uchumi gani? Elimu yake si imekuwa wasted hapo?
Asante sana kwa uchambuzi makini ambao upo backed na takwimuNimekuwa nikijizuia sana kuandika kuhusu hii topic lakini ngoja niseme machache kuhusu concept ya kujiajiri na kuajiriwa kwa wahitimu/vijana.
Katika dunia ya leo, vijana wengi wabunifu na wanaojiajiri wanatoka katika nchi zinazoeendelea na masikini kama Tanzania. Swala la kwamba nchi tajiri kama Marekani na nchi za bara la ulaya zinaandaa wanafunzi wake wajiajiri ni uongo wa wazi wazi kabisa.
Nadhani hili swala la viongozi wengi wa siasa kupigia kelele swala la vijana kujiajiri ni wao kukukosa ubunifu wa kutengeneza ajira na kuanza kupeleka lawana kwa vijana kwamba wao ndo wanabweteka na hawataki kujiajiri. Serikali ndo inatakiwa itengeneze ajira, hizi kelele za vijana kujiajiri ni serikali kukosa ubunifu katika uchumi.
Statistics zinaonyesha vijana wanajiajiri sana kwenye nchi masikini kuliko nchi tajiri na zilizoendelea.
Infographic: Where People Are Self-Employed Around the World
This chart shows the share of self-employed workers in selected countries in 2019.www.google.com
Self employment statistics 2018
1. low income countries = 81%
2. Middle income = 47%
3. High income = 12%
Marekani ni 6% tu ya watu ndo wamejiajiri
Mwaka jana Burundi ndio iliongoza kwa kuwa na asilimia karibu ya 94% ya self-employment sasa haya malamiko kwamba vijana wa nchi masikini hawataki kujiajiri yanatoka wapi?
Serikali ijitahidi kutengeneza ajira, vijana wanapigana vya kutosha na sio wa kulaumiwa.View attachment 1268554
Ok, ndogo ukimaanisha zinaajiri watu wangapi na revenue kiasi gani? kuna mdau kaweka data hapo, watu wengi kwenye nchi zenye uchumi ulioendelea wamejiriwa, sio kujiajiriSiyo kweli, wewe utakuwa unaangalia zile kampuni za kimataifa kama Sony na Toyota. Makampuni mengi Japani ni kampuni ndogo ndogo kama ilivyo Ujerumani pia.