Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekupa hizo data za kulinganisha hivyo vitu viwili?
Swala la watu kupungua Wala halihusiani na sera nk bali kinachoamua ni Hali ya maisha na kiwango cha elimu..
Mimi hilo swala nimeliona mapema. Ndo mana kila ninapopata tunda nafanya jitihada ya kuacha hapo mtoto. Nafanya investment ya baadae. Naeza kuja pata Mama tozo wangu
😳Uone nn tena jirani,wawili wanakutosha mbona,kama unao basi imetosha kabisaNgoja tuone...
Jirani hujui kama wanawake nyie mpo wengi sana...😳Uone nn tena jirani,wawili wanakutosha mbona,kama unao basi imetosha kabisa
Unataka Kila mmoja abebe wake 🤣🤣🤣...tuko wengi mno utatumaliza kweli jirani🚴Jirani hujui kama wanawake nyie mpo wengi sana...