Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Lakini KILA mtoto huja na riziki yake thus mtoto yeyeto uzaliwa amekunja ngumi ikimaanisha ameshikilia riziki yakeYe aongeze ili tumfate.Haiwezekani sijui ntakula nini then niongeze wanaohitaji chakula zaidi.Mfumo wa leo ni wakibepari!