Mje mtushauri vijana wa miaka 25 hadi 40

Anayetaka kutoboa afanye yafuatayo:
1. KATAA ndoa.
2. Acha mipombe, mibangi na starehe zote.
3. Ishi kulingana na uwezo wako. Ni upuuzi kuanza kununua gari halafu unapaki polisi, petrol station, ama shule jirani.
 
1.Kumbuka unaishi Africa,kusini mwa jangwa la Sahara,Tanzania,miongoni mwa sehemu masikini kuwahi kutokea kwenye uso wa Dunia,jitahidi uishi maisha ya chini,sio kipato chini ya $1000 kwa mwezi unatumia hiko hiko kukopa na kunununua SUV ya $10000,bila kua na kipato cha ziada,utakua masikini by unafika 50,
2.Usiige maisha ya anasa ya mitandaoni,birthday,harusi za milioni 20 wakati hata biashara ya milioni 2 hauna
3.Pombe,sigara,madawa ya kulevya ya aina yeyote achana nayo
4.WANAWAKE:-
Kuna sababu nimeandika kwa herufi kubwa
4.(a).kua makini na mwanamke mmoja:
........kabla ya 2010 wanawake wanaojiuza walikua wanajulikana mtaani,kwa mavazi yao,tabia zao,.....miaka hii kumeibuka tabia iitwayo kitaalamu,"TRANSACTIONAL SEXUAL WORKER",hapa hata wake za watu,single mother,watoto,wazee wanajiuza......yaani umeoa mke bila kumpa hela atoi uchi,akitongozwa akiahidiwa hela,vitu vya thamani anavua chupi vizuri tu,akiahidiwa iphone 15 anatoa MK.UNDU,akiahidiwa Toyota Porte,anatoa M.Kundu wake na wa dada yake,.............kua makini na WANAWAKE umalaya umekua ni tabia na sio KAZI kama miaka ya zamani,maish a haya yanahitaji umakini sana Kwa mwanaume kutoboa,imagine mwanamke anayoto.mbwa Kila wiki na wanaume tofauti kabla ya kuolewa naye anamuomba mungu ampe mume Bora😆😆,ambaye unaweza kua ndio wewe mtoa mada
4.(b).Kua makini na wanawake wengi: wanaojiuza,wasipokupa nuksi watakauchia magonjwa
5.Tafuta kazi hata nje ya nchi.
Ukweli mchungu hii nchi baada ya kukopa kununua mitambo ya kuchimba madini,inakopa kuchapishavitambulisho vya kupiga kura.........kazi ni chache mno kuliko wenye sifa za kufanya hio kazi,bandari zimeuzwa,madini,mashamba,viwanda.......kila mtu hawezi kufanya kazi serikalini,........ Nje ya nchi hasa Dunia ya kwanza ikitokea fursa nenda
 
Hapa umeongea ukweli mpk vinyweleo vyangu vimesimama.
 
MWANAUME akifanikiwa kuishinda ZINAA, atafanikiwa Sana katika hi dunia


MWANAUME akifanikiwa kuishinda nguvu na ushawishi wa Mwanamke hivyo atashinda zinaa na kuoa MKE mwema............ mwanaume wa aina hi atafanikiwa Sana na atakua mwenye Amani na ataishi Long life


Asilimia 90 ya matatizo(ya kiuchumi, kijamii, kiafya na mengineyo) duniani yanasababishwa na ZINAA chunguza hili utakuja kunishukuru 📌
 
Kwa umri wa 23 huyu si Bado ni mtoto kabisa na yeye anaongea kauli kama zako? Very sad.... 1. GOD FIRST 2. EXPECT LITTLE....utaishi Kwa furaha na utafanikiwa hata vile ambavyo hukutegemea....
 
Sasa Mwanaume Rijali unamshauri akae mbali na wanawake unatemegea nini wacha watu wapige k kadri wawezavyo maana ipo kwa ajili ya kazi hiyo.
 
Ukiktaa ndoa itakufanya vip utoboe mkuu ,sema chap niendelee kuimarisha msimamo wangu.
Wanawake wengi hawachangii kitu ktk ndoa, hata awe mfanyakazi ama mfanyabiashara mwenye kipato kikubwa.

Kwahiyo ukiwa unatemgenez kipato cha 1M kabla ya kuoa, basi jua ya kwamba siku ukioa unakigawa hicho kipato kwa watu 2. Na siku ikipata mtoto unakigawa kwa watu 3. Ndiyo mwanzo wa umaskini.
 
Zingatia kula milo miwili kwa siku ikifika saa kumi jioni usile tena mpaka kesho yake ni muhimu kwa afya yako ya miaka mingi ya mbeleni.... hakikisha unawekeza kwenye mazingira ambayo umepangiwa kazi/ unafanya kazi mfano ww ni mtu wa dsm ila kazi unajua ni ya mda mrefu upo mkoani wekeza kibiashara kwenye mkoa mpya pia kama unaweza nunua na kiwanja ujenge
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…