Mje mtushauri vijana wa miaka 25 hadi 40

Mje mtushauri vijana wa miaka 25 hadi 40

Habari.

Nimekuja na mada hii kwa wazoefu wa maisha mnaweza kutusaidia sisi vijana wadogo ambao tuko kwenye miaka 23 hadi 40.

Maisha yetu yamekuwa ni ya matarajio mengi sana lakini uhalisia wa hayo matarajio ni tofauti na tunavyofikiria au tulivyoahidi.

Umri umefika tumejikuta tuna wake ,watoto na kazi au vitu vya kawaida ambavyo hatukuwa na mipango navyo labda tuseme tunaona tumefeli .

Tuliwaza kumiliki Nyumba Kali,Gari nzuri ,kuwa na kazi yenye mshahara wa kutosheleza mahitaji maishani na ndugu lakini haijawa hivyo.

Kwa wazoefu wa maisha.

Tunaomba mtushauri kitu gani cha ziada tufanye hili tuweze kufikia lengo la maisha wakuu
Aliyekwambia mwenye miaka 40 kijana ni nani ?
 
Tatizo vijana tuna tabia ya kugeneralise mambo. We want everything now. Mtu anataka kila kitu akipate leo leo, hatuna subira, tunataka mipango yote tuikamilishe leo Nyumba, Gari Kali, Mwanamke presentable, Cash ya kufanya mambo mengine ikiwamo starehe hii haiwezekani labda uwe jambazi. Kikubwa tujipe muda hata mtoto akizaliwa anakuwa kwa stage hawezi kuzaliwa leo akaanza kukimbia kesho.
 
Betting inawaharibu mkitegemea itawatoa
Akili zimewadumaa kwa sababu nyingi tu
Lazima muwe na malengo ya miaka 10 au zaidi kama mnataka kufika mbali
Wekezeni hela sehemu ambazo zitakuwa huku ukipanga cha kufanya

Wengi mnawaza kupiga tu na kujipatia hela kwa njia za mkato
Maisha hayaendi hivyo
Hamna uaminifu
 
Habari.

Nimekuja na mada hii kwa wazoefu wa maisha mnaweza kutusaidia sisi vijana wadogo ambao tuko kwenye miaka 23 hadi 40.

Maisha yetu yamekuwa ni ya matarajio mengi sana lakini uhalisia wa hayo matarajio ni tofauti na tunavyofikiria au tulivyoahidi.

Umri umefika tumejikuta tuna wake ,watoto na kazi au vitu vya kawaida ambavyo hatukuwa na mipango navyo labda tuseme tunaona tumefeli .

Tuliwaza kumiliki Nyumba Kali,Gari nzuri ,kuwa na kazi yenye mshahara wa kutosheleza mahitaji maishani na ndugu lakini haijawa hivyo.

Kwa wazoefu wa maisha.

Tunaomba mtushauri kitu gani cha ziada tufanye hili tuweze kufikia lengo la maisha wakuu
Hakuna ushauri kwasasa kila mtu apambane na hali yake mifumo ya kuwezesha ufanikiwe iko likizo hadi jamii zetu za kiafrika zitakapo amua mifumo ifanye kazi
 
Habari.

Nimekuja na mada hii kwa wazoefu wa maisha mnaweza kutusaidia sisi vijana wadogo ambao tuko kwenye miaka 23 hadi 40.

Maisha yetu yamekuwa ni ya matarajio mengi sana lakini uhalisia wa hayo matarajio ni tofauti na tunavyofikiria au tulivyoahidi.

Umri umefika tumejikuta tuna wake ,watoto na kazi au vitu vya kawaida ambavyo hatukuwa na mipango navyo labda tuseme tunaona tumefeli .

Tuliwaza kumiliki Nyumba Kali,Gari nzuri ,kuwa na kazi yenye mshahara wa kutosheleza mahitaji maishani na ndugu lakini haijawa hivyo.

Kwa wazoefu wa maisha.

Tunaomba mtushauri kitu gani cha ziada tufanye hili tuweze kufikia lengo la maisha wakuu
Jamuhimu nikufanya kazi kwa malengo kwa bidii na vila kuakata tamaa
 
Labda shida ya vijana wengi wanaumwa figo kwa sababu ya kufunya mapenzi sana ya jinsia moja ambapo uchafu unaweza ingia kwenye figo au kupendelea mapenzi tu bila kupima afya zao
 
Ni vizuri vijana wakubaliane na mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia. Namna ambavyo wanaweza kukuwa kidijitali pasipo kwenda kinyume na sera na sheria za nchi 👉🏾👉🏾yote hayo nimeandika kwenye chapisho la stories of changes TANZANIA TUITAKAYO: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia. Kasome na uweze kunipigia kura🙏🏾
 
Omba Sana kwa mola mlezi

jitume fanya kazi kwa bidii na kwa malengo

pangilia maisha yako unataka yaweje

Usiishi kwa mtazamo wa watu hasi na kuishi kwa KUMWANGALIA Fulani anaishi hivi

toa sadaka Kwa wahitaji watakuombea dua ya mafanikio

Then relax everything flows on it energy. 😃😃😃😃😃
 
Kutoa ushauri haimaniishi amefanikiwa, unaweza toa ushauri ukiangalia wapi ww ulipokosea, kuna mtu hapo juu kasema yeye ni shahidi wa nuksi, mikosi, laana zitokanazo na ngono.
Asante sana mkuu, watu hufikiri anayepaswa kukushauri ni yule aliyefanikiwa kwayo!
Haiko hivyo hekima inapatikana kwa namna nyingi kwa Ku experience, kuona, kujifunza na kusikia
 
Kuzaliwa subsahara Africa ,tena shitholes kama Tanzania ni laana tosha na kubwa mno .
Hizi nchi ni dreams killer ,
Kuna sababu kwanini watu na vijana wengi wa Afrika wanakimbilia Europe ,Asia na America
 
Tatizo vijana wa siku hizi hamtaki kujituma, degree zenu za kwenye makaratasi zinawadanganya sana, ila bado muda mnao shtukeni mapema❤️
Acha kuandika ujinga , hakuna cha kujituma wala shemeji yake na kujituma , kuzaliwa nchi za kishenzi na zenye mifumo kandamizi na isiyotoa fursa za watu wengi kuthrive kiuchumi ni laana .
 
Nimesoma comment zote naona mnapiga mboyoyo tu.

Ooh acha pombe, uzinzi , nk
Wabongo kwa unafiki .
Hawataki kuadress core issue .
Wanakwambia pombe na malaya as if hizo nchi nyingine ambazo vijana wanathrive vizuri kiuchumi ni wachapakazi sana na watakatifu wasio tumia pombe wala kufanya uzinzi
 
Back
Top Bottom