Mje mtushauri vijana wa miaka 25 hadi 40

Ili kijana utoboe kwenye haya maisha

Ukweli ni kwamba kuna vitu vya kuepuka

Mosi, ngono huyu ni adui namba moja kwa kijana hick kitendo cha kuchanganya wanawake kina athiri the whole of life la mtu
Kupitia ngono kuna nuksi,balaa na kila aina y a laana (mimi nishahidi wa hili)

Pili, starehe za pombe za kampani na marafiki wasio sahihi

Tatu, kutaka kujilinganisha na mtu maisha hayako hivyo utakufa na stress.

Kwa kuongezea:

Vijana wajikite kutafta hekma, kwa watu mbalimbali wawe na maono makubwa watakuwa na hamu ma maisha yao

Mwisho wawe na imani dhabiti.
 
Aika mchaka
 
Hapa inategemea na aina ya mwanamke uliemuoa,,, ndo maana vijana wanaambiwa usioe ovyo.... Kuna wanaume waliooa na kazi zao na vimishahara vya tamisemi na wameoa wamama wa nyumbani kupitia akili ya mke mume anavimba na kuona kayalenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wa bure....mwanamke ni shetani wewe wala usiendekeze upendo kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…