Kutoa ushauri haimaniishi amefanikiwa, unaweza toa ushauri ukiangalia wapi ww ulipokosea, kuna mtu hapo juu kasema yeye ni shahidi wa nuksi, mikosi, laana zitokanazo na ngono.Huu uzi unafurahisha yani hapa kila mtu ni mshauri mzuri, mtu mstarabu halafu ameyapatia maisha
Aliyekwambia mwenye miaka 40 kijana ni nani ?Habari.
Nimekuja na mada hii kwa wazoefu wa maisha mnaweza kutusaidia sisi vijana wadogo ambao tuko kwenye miaka 23 hadi 40.
Maisha yetu yamekuwa ni ya matarajio mengi sana lakini uhalisia wa hayo matarajio ni tofauti na tunavyofikiria au tulivyoahidi.
Umri umefika tumejikuta tuna wake ,watoto na kazi au vitu vya kawaida ambavyo hatukuwa na mipango navyo labda tuseme tunaona tumefeli .
Tuliwaza kumiliki Nyumba Kali,Gari nzuri ,kuwa na kazi yenye mshahara wa kutosheleza mahitaji maishani na ndugu lakini haijawa hivyo.
Kwa wazoefu wa maisha.
Tunaomba mtushauri kitu gani cha ziada tufanye hili tuweze kufikia lengo la maisha wakuu
UhakikaMkipata hela msisahau kuwekeza kwenye ardhi
Hakuna ushauri kwasasa kila mtu apambane na hali yake mifumo ya kuwezesha ufanikiwe iko likizo hadi jamii zetu za kiafrika zitakapo amua mifumo ifanye kaziHabari.
Nimekuja na mada hii kwa wazoefu wa maisha mnaweza kutusaidia sisi vijana wadogo ambao tuko kwenye miaka 23 hadi 40.
Maisha yetu yamekuwa ni ya matarajio mengi sana lakini uhalisia wa hayo matarajio ni tofauti na tunavyofikiria au tulivyoahidi.
Umri umefika tumejikuta tuna wake ,watoto na kazi au vitu vya kawaida ambavyo hatukuwa na mipango navyo labda tuseme tunaona tumefeli .
Tuliwaza kumiliki Nyumba Kali,Gari nzuri ,kuwa na kazi yenye mshahara wa kutosheleza mahitaji maishani na ndugu lakini haijawa hivyo.
Kwa wazoefu wa maisha.
Tunaomba mtushauri kitu gani cha ziada tufanye hili tuweze kufikia lengo la maisha wakuu
Jamuhimu nikufanya kazi kwa malengo kwa bidii na vila kuakata tamaaHabari.
Nimekuja na mada hii kwa wazoefu wa maisha mnaweza kutusaidia sisi vijana wadogo ambao tuko kwenye miaka 23 hadi 40.
Maisha yetu yamekuwa ni ya matarajio mengi sana lakini uhalisia wa hayo matarajio ni tofauti na tunavyofikiria au tulivyoahidi.
Umri umefika tumejikuta tuna wake ,watoto na kazi au vitu vya kawaida ambavyo hatukuwa na mipango navyo labda tuseme tunaona tumefeli .
Tuliwaza kumiliki Nyumba Kali,Gari nzuri ,kuwa na kazi yenye mshahara wa kutosheleza mahitaji maishani na ndugu lakini haijawa hivyo.
Kwa wazoefu wa maisha.
Tunaomba mtushauri kitu gani cha ziada tufanye hili tuweze kufikia lengo la maisha wakuu
Asante sana mkuu, watu hufikiri anayepaswa kukushauri ni yule aliyefanikiwa kwayo!Kutoa ushauri haimaniishi amefanikiwa, unaweza toa ushauri ukiangalia wapi ww ulipokosea, kuna mtu hapo juu kasema yeye ni shahidi wa nuksi, mikosi, laana zitokanazo na ngono.
Acha kuandika ujinga , hakuna cha kujituma wala shemeji yake na kujituma , kuzaliwa nchi za kishenzi na zenye mifumo kandamizi na isiyotoa fursa za watu wengi kuthrive kiuchumi ni laana .Tatizo vijana wa siku hizi hamtaki kujituma, degree zenu za kwenye makaratasi zinawadanganya sana, ila bado muda mnao shtukeni mapema❤️
Wabongo kwa unafiki .Nimesoma comment zote naona mnapiga mboyoyo tu.
Ooh acha pombe, uzinzi , nk
Wanazngua sanaWabongo kwa unafiki .
Hawataki kuadress core issue .
Wanakwambia pombe na malaya as if hizo nchi nyingine ambazo vijana wanathrive vizuri kiuchumi ni wachapakazi sana na watakatifu wasio tumia pombe wala kufanya uzinzi
acheni pombe