mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Msanii Nandy ameshiriki video leo septemba4 inayoonyesha mjengo wao mpya wa kifahari waliotumia miaka miwili kuujenga, na kuandika maneno haya (Tunasmshukuru mungu sana kutuwezesha kushare na nyie bhii furaha kubwa ya hatua ya maisha yetu,....
Nyumba yetu ya kwanza katika ndoa na zawadi ya binti yetu mremmbo Naya ,ndoa ni baraka na baraka tumeziona . bila kusahau wote mliotusapoti na mnaoendelea kutusapoti , hakika sapoti yenu ni chachu kubwa sana kwenye kila hatua ya maisha yetu . Tunawapenda na hatutakuja waangusha.