Mjengo mpya wa Nandy na Bilinass

Mjengo mpya wa Nandy na Bilinass

Hata sijajiskia vibaya
ap_090911089838_sq-fccc43c53a0c4c3249cc12a938832a3c3b397aab.jpg
 
Nyumba nzuri sana. Kujenga siyo kazi rahisi. Hongera sana Nandy na Nenga. Nimependa gym design..very nice.👍

Kwa wote mlioumizwa na huu mjengo, mwenyezi Mungu awafanyie wepesi katika yote mfanikishe haja za mioyo yenu msiumizwe na mafanikio au maendeleo ya wengine.
 
Hiyo nyumba ya nani? kuna mmoja atakuja kulia hapo badae

Ukiachana na mama watoto wako inabidi uwe mpole. Kwanza usipige makelele Dunia nzima ijue, yeye na watoto unawaachia nyumba unakwenda kupanga jirani kila siku watoto wakuone. Hakikisha unabaki na funguo za nyumba na unaweza kuingia anytime. Hata akijaribu kurusha magunia wewe baki kwenye line kwasababu wanaume ni watu brave. Yaani ukiwa hapo around atashindwa kuleta bwana mwingine wakati wewe utafaidi visichana vya Instagram kimya kimya. Hiyo ndio dawa yao
 
Back
Top Bottom