Mjengo mpya wa Nandy na Bilinass

Mjengo mpya wa Nandy na Bilinass

Tukiweka ushabiki pembeni tuka stick kwenye facts, HAKUNA MSANII BONGO ANAWEZA JENGA MJENGO HUU kwa kaz ya sanaa. hayupooo.. Hii kitu si chini ya 3B na hakuna msanii mwenye uwezo wa kuwa na hiyo figure kwenye account mpaka kufa kwake, labda Diamond ambaye naye si pesa ya muziki pekee.

Jumba kama hili maintenance costs zake tu Monthly vitu kama umeme na maji , usafi na mambo mengine ni pesa ndefu sana
 
Msanii Nandy ameshiriki video leo septemba4 inayoonyesha mjengo wao mpya wa kifahari waliotumia miaka miwili kuujenga, na kuandika maneno haya (Tunasmshukuru mungu sana kutuwezesha kushare na nyie bhii furaha kubwa ya hatua ya maisha yetu,....

Nyumba yetu ya kwanza katika ndoa na zawadi ya binti yetu mremmbo Naya ,ndoa ni baraka na baraka tumeziona . bila kusahau wote mliotusapoti na mnaoendelea kutusapoti , hakika sapoti yenu ni chachu kubwa sana kwenye kila hatua ya maisha yetu . Tunawapenda na hatutakuja waangusha.

Duh🤔
 
Kwa kazi ya Sanaa tu hela ya kujenga hii nyumba hawana.
Hawajatokea Familia Choka Mbovu hilo inabidi ujifunze kabla ya kuandika sio wale wakina fulani sasa gemu inaelekea kuwatupa Mkono bado wanaishi nyumba za kupanga bank ikiwatingisha kidogo tu hali sio hali
 
Back
Top Bottom