Mjengo mpya wa Nandy na Bilinass

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Msanii Nandy ameshiriki video leo septemba4 inayoonyesha mjengo wao mpya wa kifahari waliotumia miaka miwili kuujenga, na kuandika maneno haya (Tunasmshukuru mungu sana kutuwezesha kushare na nyie bhii furaha kubwa ya hatua ya maisha yetu,....

Nyumba yetu ya kwanza katika ndoa na zawadi ya binti yetu mremmbo Naya ,ndoa ni baraka na baraka tumeziona . bila kusahau wote mliotusapoti na mnaoendelea kutusapoti , hakika sapoti yenu ni chachu kubwa sana kwenye kila hatua ya maisha yetu . Tunawapenda na hatutakuja waangusha.

Your browser is not able to display this video.
 
Nzuri acha na sisi tuendelee kupambana tu..
 
Daaah hapo kwenye home gym ndio nimenyoosha mikono mjengo mkali sana halafu hakuna kelele kama chawa mwijaku.........ndoto yangu makazi yangu ya kulala Mungu akinijalia lazima niweke gym ya kisasa πŸ‹οΈβ€β™€οΈ
 
Hivi Diamond hanaga mjengo au haonagi umuhimu wa kupost mambo kama hayo,ya mijengo....?
Anyway.

mkuu hiyo mbona nyumba ya kawaida tu, na kibongobongo usikute amekodi anakogea watu, hata domo alishafanya sana hayo matukio nyumba ya kukodi anauzia sura. kuwaamini wasanii wa kibongo kwa chochote ni uendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…