Mjeshi wangu umepata tatizo! Nisaidieni jamani

Mjeshi wangu umepata tatizo! Nisaidieni jamani

Joined
Mar 1, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Wana jf, ni miezisita tokea uume wangu uanze kutokewa na vijipele juu ya ngozi,sio kichwani. LAKUSHANGAZA, haviumi wala haviwashi. Nimejaribu kupima magonjwa ya zinaa lakini sijapata jibu sahihi.Labda mnanisaidiaje,kwani nakosasana raha...........????????????????????????????????????????????
 
inawezekana ni ugonjwa wa zinaa,

nenda hosptl nyingine kachek, maana kuna ugonjwa unaitwa GENITAL WARTS unasababishwa na virusi vya Human Papilona Virus (HPV) niliambiwa upo sana nchi za wenzetu Ulaya huku africa bado hujaenea sana, em check hizi dalili kwenye weekpedia. my advice, acha ngono zembe, jitaidi sana kuacha ngono kwan hakuna jipya kwa hao wanawake unaobadilisha kila siku... chunga tamaa mbaya,m tuliza moyo wako mkuu! utapona
 
mmmhh!!! hii dawa ni sawa na kumngoa mgonjwa jino kwa ngumi!!!
 
Duuuh... umemuogopesha badala ya kumshauri...
 
Kama una Genital Warts huu ugonjwa ni balaa effect zake n kubwa sana sehemu za siri (mbele na nyuma) na matibabu yake n very expensive kama ugonjwa utakuwa cronic. Jaribu kupata matibabu dhabiti mapema.
4 more: wkpedia GENITAL WARTS uone symptoms, effects na treatment zake.
 
mmmhh!!! hii dawa ni sawa na kumngoa mgonjwa jino kwa ngumi!!!

lakini Ukweli ni bora kuliko kufuchaficha, si unajua mficha moto... bora akapime hiyo kitu isee, maana ni soo
 
Duuuh... umemuogopesha badala ya kumshauri...

hah haa mkuu sijamwogopesha bana, ila najaribu kumpa ukweli, maana BAADHI ya DRs ni wavivu kufanya check up kwa kina so bora ujue mapema uwaambia unataka kupima nini kuliko kuwaambia wao wacheck itakuwa ni nini...
 
Mkuu ulikua una jiexpres a.k.a ulikuwa una dandia farasi nini? Maanake huo ugonjwa una wapata sana watu ambao wanatwanga kotekote.Au itakuwa umefanya mapenzi na mwanamke ambaye alipata maambukizi ya bakteria wa kwenye tigo na hii hutokana na mwanamke kufanya mapenzi na mwanaume ambae huwa anakula tigo kwa sana.Nakushauri wahi kwa Dokta.
 
Mkubwa STI hiyo nenda hospital wafanye vipimo zaidi, na punguza kugonga nga'adu ng'adu a.k.a kuteleza! STIs kills!:mod:
 
duh mkuu inaelekea ulizama TOPENI nini tena ande viande yaani kavu kavu tehe
 
Pole bana, tafuta tabibu wa kuaminika.

Imekuwa kama ''Raha'' nini sijui. C inaongeza utamu!
 
my advice, acha ngono zembe, jitaidi sana kuacha ngono kwan hakuna jipya kwa hao wanawake unaobadilisha kila siku... chunga tamaa mbaya,m tuliza moyo wako mkuu! utapona

Word Broda!!
 
Inawezekana umepata reaction au aleji pengine baada ya kukutana na mwenzio. Tumia biowater yaaani maji hai yanayotengenezwa na bio disc. Hata mimi nilikuwa napata kila nikukutana na mwenzangu. Sasa hivi sipati baada ya kupata hayo maji maana nimenunua biodisc. Utapataje nitumie no ya simu ama private mail..
UNIQUE
 
Back
Top Bottom