Mji mkuu ni sawasawa na kichwa/uso kwa bondia, ukiona panagusika hapo kila mara jiulize mara mbilimbili katika unayoyasikia!

WhoWeBe

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
2,299
Reaction score
4,282
Ndo hivyo wakuu, ukiona bondia anapigika usoni kirahisi ujue mambo si mambo hapo.
Vivo hivyo kwa nchi zinapopigana, ukiona kila mashambulizi yanafika mji mkuu yakupasa uwe makini kweli na meeeeengi unayoyasikia......hususani kutoka upande huo wenye mji unaoshambuliwa.
Yote kwa yote, vita ni mbaya.......tuombe Mungu ipite mbali.
 
Inategema nani na nani wanapigana.
Kenya wakipigana na Somalia wanafika hadi Ikulu ya Mogadishu ndani ya wiki moja tu, ila wakipigana na Uganda wanaweza wasisogee hata km 10.
 
Tunategemea bondia wa uzito wa juu akipigana na bondia wa uzito wa chini pambano liishe kwa knockout round ya kwanza sasa pambano likionekana linazidi kusonga raundi nyingi huyo bondia wa uzito wa juu atatiliwa mashaka.
 
For sure
 
.
Screenshot_20230516-211511.jpg
 
Inategema nani na nani wanapigana.
Kenya wakipigana na Somalia wanafika hadi Ikulu ya Mogadishu ndani ya wiki moja tu, ila wakipigana na Uganda wanaweza wasisogee hata km 10.
Je huyo somalia akisaidiwa na mataifa yote hamsini na kitu ya Afrika huyo kenya ataweza kusogea hata kilomita hata tano?
 
Kuna msafara wa kilometer 174 ulishafika mpakani na Kyiv ila sijui unasubiria nin?

Russia taifa kubwa sana kijeshi ila halina morali
 
Je huyo somalia akisaidiwa na mataifa yote hamsini na kitu ya Afrika huyo kenya ataweza kusogea hata kilomita hata tano?
Russian yenyewe ni kubwa mara nne zaidi kuliko ulaya
Russia ndio taifa lenye jeshi kubwa na kisasa kuliko yote dunian.
Ila hapa kwa sasa kachemka
 
Tatizo la Putin anaamini kuwa tu na makombora basi ushashinda vita kumbe sio hivyo unahitaji well equiped personels
 
Russian yenyewe ni kubwa mara nne zaidi kuliko ulaya
Russia ndio taifa lenye jeshi kubwa na kisasa kuliko yote dunian.
Ila hapa kwa sasa kachemka
Kwanza ukubwa wa eneo la nchi haimaanishi kuwa taifa lina nguvu,bali taifa huwa linaitwa lina nguvu pale linapo kuwa na wingi wa siraha kuliko mataifa mengine.

Kingine kwenye vita ya Ukraine imekuwa ngumu kwa Urusi kwasababu kuna mlinganyo wa nguvu kati yake na Ukraine baada Ukraine kupokea misaada ya silaha za mabilion ya dora kutoka nchi za Magharibi.
 
Tunategemea bondia wa uzito wa juu akipigana na bondia wa uzito wa chini pambano liishe kwa knockout round ya kwanza sasa pambano likionekana linazidi kusonga raundi nyingi huyo bondia wa uzito wa juu atatiliwa mashaka.
Kuna mabondia Wa uzani Wa chini wamekomaa sana nyuso zao kama vibaka sasa kumaliza pambano ni mpaka kengele ya mwisho.Na likiisha mikono ya bondia wa uzani Wa juu imeoza kukong'ota USO mgumu.
 
Back
Top Bottom