Inategema nani na nani wanapigana.Ndo hivyo wakuu, ukiona bondia anapigika usoni kirahisi ujue mambo si mambo hapo.
Vivo hivyo kwa nchi zinapopigana, ukiona kila mashambulizi yanafika mji mkuu yakupasa uwe makini kweli na meeeeengi unayoyasikia......hususani kutoka upande huo wenye mji unaoshambuliwa.
Yote kwa yote, vita ni mbaya.......tuombe Mungu ipite mbali.
For sureTunategemea bondia wa uzito wa juu akipigana na bondia wa uzito wa chini pambano liishe kwa knockout round ya kwanza sasa pambano likionekana linazidi kusonga raundi nyingi huyo bondia wa uzito wa juu atatiliwa mashaka.
.Tunategemea bondia wa uzito wa juu akipigana na bondia wa uzito wa chini pambano liishe kwa knockout round ya kwanza sasa pambano likionekana linazidi kusonga raundi nyingi huyo bondia wa uzito wa juu atatiliwa mashaka.
Je huyo somalia akisaidiwa na mataifa yote hamsini na kitu ya Afrika huyo kenya ataweza kusogea hata kilomita hata tano?Inategema nani na nani wanapigana.
Kenya wakipigana na Somalia wanafika hadi Ikulu ya Mogadishu ndani ya wiki moja tu, ila wakipigana na Uganda wanaweza wasisogee hata km 10.
Russian yenyewe ni kubwa mara nne zaidi kuliko ulayaJe huyo somalia akisaidiwa na mataifa yote hamsini na kitu ya Afrika huyo kenya ataweza kusogea hata kilomita hata tano?
Tatizo la Putin anaamini kuwa tu na makombora basi ushashinda vita kumbe sio hivyo unahitaji well equiped personelsRussian yenyewe ni kubwa mara nne zaidi kuliko ulaya
Russia ndio taifa lenye jeshi kubwa na kisasa kuliko yote dunian.
Ila hapa kwa sasa kachemka
Kwanza ukubwa wa eneo la nchi haimaanishi kuwa taifa lina nguvu,bali taifa huwa linaitwa lina nguvu pale linapo kuwa na wingi wa siraha kuliko mataifa mengine.Russian yenyewe ni kubwa mara nne zaidi kuliko ulaya
Russia ndio taifa lenye jeshi kubwa na kisasa kuliko yote dunian.
Ila hapa kwa sasa kachemka
Kuna mabondia Wa uzani Wa chini wamekomaa sana nyuso zao kama vibaka sasa kumaliza pambano ni mpaka kengele ya mwisho.Na likiisha mikono ya bondia wa uzani Wa juu imeoza kukong'ota USO mgumu.Tunategemea bondia wa uzito wa juu akipigana na bondia wa uzito wa chini pambano liishe kwa knockout round ya kwanza sasa pambano likionekana linazidi kusonga raundi nyingi huyo bondia wa uzito wa juu atatiliwa mashaka.