ChunyaKatika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru.
Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es Salaam ni watu wa "shughuli" zaidi, starehe, umbea, udaku na kupiga maneno. Bahati mbaya sana Dar es Salaam imebeba 10% ya raia wa Tanzania na mauzauza yote yanayofanyikia hapo inaonekana kama ni uwakilisho wa Tanzania yote.
Fikiria kama makao makuu ya Kenya yanagekuwa Mombasa au Lamu badala ya Nairobi.
Mji mkuu wa Tanzania ungekuwa Arusha, Mbeya au Mwanza kungekuwa na utofauti mkubwa sana.
Sio wapumbavu na wajinga bali vipaumbele vyao ni tofauti, hawana malengo makubwa ya maisha (wanaridhika haraka na kwa vitu vidogo), ni watu slow katika kazi, kufikiri na kuchambua mambo.Hata mimi nimewahi kuwa na Huu mjadala Mkuu.
Ila niliuweka kiukabila zaidi.
Mimi naamini Dar es salaam ingekaliwa na
Wanyakyusa.
Wachaga au
Wahaya.
Isingekaliwa na waswahili na wazaramo kama Taifa tusingekuwa hapa.
Wazaramo ni wapumbavu, wajinga washenzi, punguani nk.
Ina uhakika Makao Makuu ya nchi yako Dar es Salaam?Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru.
Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es Salaam ni watu wa "shughuli" zaidi, starehe, umbea, udaku na kupiga maneno. Bila bandari Dar es Salaam ndio ungekuwa mkoa masikini zaidi Tanzania.
Bahati mbaya sana Dar es Salaam imebeba 10% ya raia wa Tanzania na mauzauza yote yanayofanyikia hapo inaonekana kama ni uwakilisho wa Tanzania yote.
Fikiria kama makao makuu ya Kenya yanagekuwa Mombasa au Lamu badala ya Nairobi.
Mji mkuu wa Tanzania ungekuwa Arusha, Mbeya au Mwanza kungekuwa na utofauti mkubwa sana.
Ila stayle ya maisha yao inawafanya waishi miaka mingiSio wapumbavu na wajinga bali vipaumbele vyao ni tofauti, hawana malengo makubwa ya maisha (wanaridhika haraka na kwa vitu vidogo), ni watu slow katika kazi, kufikiri na kuchambua mambo.