Mji mzito huu part 2

Hakuna cha ajabu kwa wakati huu sodoma na gomora imeshamiri na kuota mzizi, Mungu atuhurumie waja wake tu, Maana dunia imeshakwisha kiuhalisia.
 

Lyrics za wimbo gani brah!
 
Una ushahidi uhakika gani kuwa haya si majungu tu? Mna ushahidi kuwa wanapakuliwa? After all kila mtu ana m****u wake akiutumia anavyopenda watu wengine inawakera nini? Huko si kuingilia faragha ya mtu?
Umesema haswaa kila MTU anatumia mwili wake atakavyo, hakuna kupangiana
 
Haya mambo yapo sana tena mashuleni saivi ni hatari tupu full kugeuzana zamu zamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…