Mji mzito huu part 2

Mji mzito huu part 2

Hakuna cha ajabu kwa wakati huu sodoma na gomora imeshamiri na kuota mzizi, Mungu atuhurumie waja wake tu, Maana dunia imeshakwisha kiuhalisia.
 
Vee mwenyewe ana danga muda mwingine, alishawah lala na boss wa kichina kwa Tsh 2m per night
Hawa wasanii msione wana ishi maisha mazuri, they do shitty things
Kanye alishawah kuimba
"It seems we living the American dream,
the people higher up, have the lowest self esteem,
The prettiest people do the ugliest things,
On the road to riches and diamond rings,"

Ndo maisha ya hawa wasanii sasa...

Lyrics za wimbo gani brah!
 
Una ushahidi uhakika gani kuwa haya si majungu tu? Mna ushahidi kuwa wanapakuliwa? After all kila mtu ana m****u wake akiutumia anavyopenda watu wengine inawakera nini? Huko si kuingilia faragha ya mtu?
Umesema haswaa kila MTU anatumia mwili wake atakavyo, hakuna kupangiana
 
Haya mambo yapo sana tena mashuleni saivi ni hatari tupu full kugeuzana zamu zamu
 
Back
Top Bottom