Mkuu upo so wrong ,,najuwa kwamba wapo watu wana homoni za kike,,,sikukatalii,,lakini yapo madume yamekomaa kabisa,, na sauti nzito,,lakini jinsi anavyoongea na jinsi anavyotembea ,,ni ishara tosha kwa mende kumtambua shoga,,,na lazima ujuwe kuwa sauti na kuongea ni vitu viwili tofauti,,mwanaume anaweza akawa na sauti nyembamba lakini akaongea vyema kabisa,,bila kumuhisi jambo lolote la ushoga kwake,,na kuna mwanaume ana sauti nzito kabisa lakini jinsi anavyoongea kila mtu atashika kichwa,, kwamba huyu kuna ulakini,mwanaume rijali hawezi kuongea kwa style ile.. Mapozi ,,kurembua macho,,zipo ishara nyingi mkuu wanazofanya ,mkuu wewe huwezi kuwatambua,,sababu hujawafuatilia.
Hebu siku ukimuona shoga yeyote,,mfuatilie anavyoongea,,anavyocheka,,anavyopozi utagundua kitu..