Hebu kua muelewa mkuu, ndo maan nmekuambia kuwa hizo n logic za watu kua kwamba mtu akiwa na element tofauti na jinsia yake bas n Gay, kumbe suala haliko hivyo,
Homornal imbalances haihusian na Gay, ila watu ndio wanaolazimisha iwe hivyo. Na nnachosema nna uhakika nacho wala sizungumzi ili mradi, mtu kuwa na saut ya ke, kutembea na umbo wala sio indicator ya Gay, jua kabisa n hormonal products, sasa n uamuzi wa muhusika kujua mlengo wake uko wapi, na sio watu waka hitumisha hivyoo mmmmh,
Huko ulaya watu hawwchukulii uzito san hili suala, it seems muhusika anajua the way him are,
Sasa huku kuna logic za hovyooh unakuta mtu ana elements tofaut na jinsia yake, ila hafany mapenzi ya ya jinsia 1, lakin jamii inamchukulia negative way, kumbe uhalisia n tofauti.
Tuache fikra potofu na mtazamo hasi juu ya Genes za watu.